Nyanda Banka JF-Expert Member Joined Mar 14, 2023 Posts 304 Reaction score 1,054 Jul 25, 2024 #1 Kibo chandede
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jul 25, 2024 #2 Watoto wenyewe mnawafubaza akili, mtoto ana miaka mi5 unalala nae, unapiga MUCHINGA kwa mama yake anawaona unategemra umalaika humo 🤣😂 Yote 9, 10 watoto wa guest, magoli ya uchochoroni, quickie za bar, hawawezi kuwa malaika🤣😂
Watoto wenyewe mnawafubaza akili, mtoto ana miaka mi5 unalala nae, unapiga MUCHINGA kwa mama yake anawaona unategemra umalaika humo 🤣😂 Yote 9, 10 watoto wa guest, magoli ya uchochoroni, quickie za bar, hawawezi kuwa malaika🤣😂
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Jul 25, 2024 #3 Vichekesho said: Watoto ni watoto na Malaika ni Malaika. Ukiona mtu anasema kuwa watoto ni Malaika ujue hajitambui Click to expand... Mkuu wewe hujitambui na pengine hauna watoto kabisa ndio maana unasema haya
Vichekesho said: Watoto ni watoto na Malaika ni Malaika. Ukiona mtu anasema kuwa watoto ni Malaika ujue hajitambui Click to expand... Mkuu wewe hujitambui na pengine hauna watoto kabisa ndio maana unasema haya
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jul 25, 2024 #4 Hapo mtoto ana kosa gani?
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jul 25, 2024 #5 kuna wale wamezaliwa uvccm mfano abdul na mtoto wa mwiguru
THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,462 Reaction score 7,157 Jul 25, 2024 #6 Wazamani ni Malaika wa mungu kizazi hichi ni malaika wa shetani