Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje wenyewe wanawake..
<br />Hivi wanaume tuliooa tukijivua gamba na kusema kucheat basi je nyie wanawake mjini patakalika?au wengi wenu mtatia huruma?Maana wasio oa kila mmoja anamtuwe!
eti bana....wafanye vitendo tuone.....Kwanini muandikie mate wakati wino upo?
wana ubavu huo....Hebu jivueni hayo magamba fasta fasta.
wana ubavu huo....
<br />wana ubavu huo....
Mhhhh kakaliza bana, kwa hiyo bila nyie waume za watu wasichana hawatapata wachumba zao wa saizi yao?
eti bana....wafanye vitendo tuone.....
<br />Jamaa angu umenifanya nifikirie sana maaana mpaka nkaanza kuwaonea hurruma mabint niliowahonga kama nisingefanya hivyo ijui kama wangekuwa wap sa hz