Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

sasa bi dada,jaamaa hataki mapenzi wala hana time nayo wa nini? BINDUKI BILA RISASI YA KAZI GANI?
 
Mi nawasi wasi na uanaume wake...hata kama anapata nje...haiwezekani kukupotezea wewe...tena mda wote huo!
Yaani fisi akatae minofu wakat hata mifupa anaila..!!
 
Mmmh sijui unadanganywa au unaibiwa! Mahusiano kama hayana ramani vile..malengo yenu ni yepi?

Sasa unataka upewe mbinu ili ufanikishe ku'do au unataka uambiwe endelea nae/achana nae?

Ukipima mzani wewe mwenzetu unaonaje?

Nataka kujua uhalisia

Ni kweli ama si kweli ili nipime maji na unga nijikate zangu
 
1. Huyo mwanaume ni yahaya? Tahadhari utaumia

2. Inawezekana huyo mwanaume hasimamishi, wakati wa romance huwa unaishika maiki?

3. Labda dume shoga

4 labda anakwepa uasherati

Anasimamisha vizuri tu.

Wala sio shoga

Kukwepa uasherati haiwezekani labda basi asingenitongoza.
 
Kwa wanaume things are different dada. Hata kama kuwe na mtu mwingine anaemtimizia haja zake huko nje, na wewe angekugegeda tu kama everything is on set .
So nionavyo mimi kuna two things involved
1. Ni aidha jamaa si salama ,kwamba si mzima kinguvu za kiume (hafauction au ni goi goi sana)au ana maambukiz ya VVU. Sasa hatak kukuambukiza .

2.Inawezekana haumvutii ,hasa mkiwa on sex scenerio hivyo stim huwa zinakata.
 
Aah kweli nmeamini..unachokiona hakifai mwenzio akiona chafaa...
..wengine wanaomba wapate watu ambao hawagegedi mpaka ndoa
...wengine wanataka kugegedwa kabla ya ndoa!
...musiyachochee mapenzi!
 
Sio uzinifu, nataka kujua huyu ni wangu kweli au kuna kitu kingine, muda umekwenda mie.

watu8 huyu bidada anataka kujua Kuwa ni wake ka kufanya uzinifu....! kamwe huwezi jua hilo!
 
Last edited by a moderator:
Kwa wanaume things are different dada. Hata kama kuwe na mtu mwingine anaemtimizia haja zake huko nje, na wewe angekugegeda tu kama everything is on set .
So nionavyo mimi kuna two things involved
1. Ni aidha jamaa si salama ,kwamba si mzima kinguvu za kiume (hafauction au ni goi goi sana)au ana maambukiz ya VVU. Sasa hatak kukuambukiza .

2.Inawezekana haumvutii ,hasa mkiwa on sex scenerio hivyo stim huwa zinakata.

Yawezekana ngoja nifanyeutafiti.

Ila la pili, yaani jamaa hata hajawahi niita ama andaa mazingira ya sex, ninaposema romance ni za bahati mbaya sana, wakati wa kuagana tena vichochoroni.
 
Dunia hii inamambo! Kwawengine ndiyo watakacho huku kwa wengine ni kero!Humu humu nimeona mwanadada akilalamika kuwa kwanini kila mwanaume anamuomba papuchi kabla ya ndoa sasa na wewe unalalamika kwanini hauombwi papuchi!

Rooney kapewa kipara anataka nywele, baloteli kapewa nywele anataka kipara
 
watu8 huyu bidada anataka kujua Kuwa ni wake ka kufanya uzinifu....! kamwe huwezi jua hilo!

Nyie mmeangalia moja tu la uznifu, lakini kuna sori ndefu za kutofahamu kwao na kazini kwake, kwenu sio ishu, ni kugegedwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Yaani sometimes wanawake tunajirahisisha mno.....

Hata kama huoni upendo wake kwako na haeleweki shukuru kwa kuwa hajakufunua...

Mwanamke stara shosti...sio kila mtu kisa uko nae tena umpe papuchi hio si sadaka ati....
 
Wana mmu habri zenu.Naombeni msaada. Nipo kwenye maswali mengi kama hii inawezekana au mazingaombwe au naibiwa?Nipo kwenye mahusiano na mkaka toka mwezi wa tatu mwaka jana, kwa kipindi chote kaka huyu hajawahinigusa kwa mapenzi zaidi ya kushikana na kubusiana tu au wakati mwingine kumaliza ashiki kwa romance. Kila nikijitahidi kuweka mazingira ya kudo anachomoa, atatoa maelezo mengiii. Sio mtu wa dini maana hata kwenda kanisani ni maramojamoja, ni mnywaji na ni mkaka wa mjini. Sielewi hivi wapo wanaume wa jinsi hiyo miaka hii? Au naibiwa mie, yupo anayemmalizia ashiki zake.Nyongeza sikujui kazini kwake wala kwao kwa ndugu zake najua tu ni mtaa fulani hajawahi nipeleka na hutoa sababu nyingi nikitaka kwenda kwao. Kwake nimewahi enda mara mbili tu kwa miezi yote hii. Kila nikifanya jitihada za kuachana nae anasumbua, anatumia marafiki zangu ama ndugu zake kudai ananipenda, kila nikipima upendo wake siuoni. Naona kama napoteza muda tu, naomba ushauri wenu.

Pole sana pengine yupo busy kama sie ila tukipata nafasi huwa hatulazi damu ni siku hiyo hiyo... tatizo kuna wengine siku upo free anakutana na mapozi kwangu ujue utachukua likizo.... next time akijitokeza mwingine akakubali basi huyo ndie nitadeal naye wewe utaendelea na likizo hadi huyu wa sasa alete mapozi kama hayo... Pengine na wewe ndio ulileta mapozi...
 
Yawezekana ngoja nifanyeutafiti.

Ila la pili, yaani jamaa hata hajawahi niita ama andaa mazingira ya sex, ninaposema romance ni za bahati mbaya sana, wakati wa kuagana tena vichochoroni.

Kama ni hivyo then inawezekana hilo la kwanza linahusika sana,
Katika moja ya repply zako huko juu umeonesha kuwa unauhakika kuwa jamaa ni mzima kimaumbile ,vp uliproove vp hili??

Nini kinakufanya uamin kuwa jamaa anafunction??
 
Dunia hii inamambo! Kwawengine ndiyo watakacho huku kwa wengine ni kero!Humu humu nimeona mwanadada akilalamika kuwa kwanini kila mwanaume anamuomba papuchi kabla ya ndoa sasa na wewe unalalamika kwanini hauombwi papuchi!
Well said mkuu mwanadamu hana wema
 
Yaani sometimes wanawake tunajirahisisha mno.....

Hata kama huoni upendo wake kwako na haeleweki shukuru kwa kuwa hajakufunua...

Mwanamke stara shosti...sio kila mtu kisa uko nae tena umpe papuchi hio si sadaka ati....
Heri ya mwaka mpya farkhina haya unayosema ni ya kweli manake kama amekua na mashaka na upendo wa huyo ndugu si bora hajamfunua inampa nafac ya kusepa bila doa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom