asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Humo humo uchochoroni mpaka kitu kinapizi?Nimeshafanya nae romance mara kadhaa, kajamaa kanasimama vema,na kanatema wadudu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humo humo uchochoroni mpaka kitu kinapizi?Nimeshafanya nae romance mara kadhaa, kajamaa kanasimama vema,na kanatema wadudu.
Oyomba ng'wana ong'wise, ninhilwe maduda bhanga, ale embula nayo yeee bhagosha!!!!
Anasimamisha vizuri tu.
Wala sio shoga
Kukwepa uasherati haiwezekani labda basi asingenitongoza.
Wana mmu habri zenu.Naombeni msaada. Nipo kwenye maswali mengi kama hii inawezekana au mazingaombwe au naibiwa?Nipo kwenye mahusiano na mkaka toka mwezi wa tatu mwaka jana, kwa kipindi chote kaka huyu hajawahinigusa kwa mapenzi zaidi ya kushikana na kubusiana tu au wakati mwingine kumaliza ashiki kwa romance. Kila nikijitahidi kuweka mazingira ya kudo anachomoa, atatoa maelezo mengiii. Sio mtu wa dini maana hata kwenda kanisani ni maramojamoja, ni mnywaji na ni mkaka wa mjini. Sielewi hivi wapo wanaume wa jinsi hiyo miaka hii? Au naibiwa mie, yupo anayemmalizia ashiki zake.Nyongeza sikujui kazini kwake wala kwao kwa ndugu zake najua tu ni mtaa fulani hajawahi nipeleka na hutoa sababu nyingi nikitaka kwenda kwao. Kwake nimewahi enda mara mbili tu kwa miezi yote hii. Kila nikifanya jitihada za kuachana nae anasumbua, anatumia marafiki zangu ama ndugu zake kudai ananipenda, kila nikipima upendo wake siuoni. Naona kama napoteza muda tu, naomba ushauri wenu.
Thread za zamani sana... Mleta maada sijui hata kama bado yupo hai...
Kweli aiseehuwezi jua Mungu anamuepusha na nini?..?
Hahahakha!! yaani wewe mwanamke unashindwa kumfanya mwanaume aingize dushelele kwenye k yako? ebu next tym igusishe kwenye k yako tuone kama hata zama ndani.....if all fails basi mwambie mie nakubwaga