Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

huyo hasimamishi pipe au anademu mwingine, mi najua romance lazma ifuatiwe na mechi kali kama ya arsenal na bayan mwez ujao
 
Yani wewe badala tumalizane chumbani umeamua kuja kuniaibisha huku?sasa leo ntakugegeda usiku kucha.
 
Anasimamisha vizuri tu.


Wala sio shoga



Kukwepa uasherati haiwezekani labda basi asingenitongoza.

usiishi kimazoea na wala usiishi kwa vile fulani anaishi vile. Kila mtu ana utaratibu wake aliojiwekea na malengo aliyojipangia. Huwezi jua sababu hasa ya kutotaka kufanya. Na kuhusu kwenda kanisani si tija kwani matendo yako ndiyo yanayotabainisha tabia yako na si kwenda kanisani au kushinda msikitini. Kaa chini na mpenzi wako na kuongea naye kuhusu maisha yake ya nyuma. Unaweza ukakuta kuna kitu kilichojificha kinachopelekea yeye kuwa katika hali hiyo.

Kuhusu yeye kukutongoza ni sawa kwana hamuwezi kuoana bila kutongozana ladba muwe mumetafutiwa na wazazi.

Yawezaikawa jamaa anakuchunguza vitu fulani na wewe hujui hata hivyo usiendekeze zinaa!
 
996580_10201199885112193_2017037632_n.jpg


Hii kali,
 
Wana mmu habri zenu.Naombeni msaada. Nipo kwenye maswali mengi kama hii inawezekana au mazingaombwe au naibiwa?Nipo kwenye mahusiano na mkaka toka mwezi wa tatu mwaka jana, kwa kipindi chote kaka huyu hajawahinigusa kwa mapenzi zaidi ya kushikana na kubusiana tu au wakati mwingine kumaliza ashiki kwa romance. Kila nikijitahidi kuweka mazingira ya kudo anachomoa, atatoa maelezo mengiii. Sio mtu wa dini maana hata kwenda kanisani ni maramojamoja, ni mnywaji na ni mkaka wa mjini. Sielewi hivi wapo wanaume wa jinsi hiyo miaka hii? Au naibiwa mie, yupo anayemmalizia ashiki zake.Nyongeza sikujui kazini kwake wala kwao kwa ndugu zake najua tu ni mtaa fulani hajawahi nipeleka na hutoa sababu nyingi nikitaka kwenda kwao. Kwake nimewahi enda mara mbili tu kwa miezi yote hii. Kila nikifanya jitihada za kuachana nae anasumbua, anatumia marafiki zangu ama ndugu zake kudai ananipenda, kila nikipima upendo wake siuoni. Naona kama napoteza muda tu, naomba ushauri wenu.


Uzoefu wangu unaniambia! Wanaume wengi hatuowi wanawake tunaowapenda sana!

Huwa tunawaweka ndani wanawake ambao wamevumilia mengi wakiwa pamoja na ss, So kama shida yako ni kuolewa nae na umeridhika nae! kazana jiweke karibu zaidi, then mvumilie the rest hayakuhusu!
 
Siku hizi wapo wanaobadilisha jinsia, unaona jiume kumbe chini kuna tundu kule.. Sasa litatumika vipi wakati yeye na wewe wote electronegative
 
Ushauri wa kwanza nendeni mkapime then hayo mengine ndo yafwate
 
Huyo Jamaa daa, Yani nilivo na maugwadu hapa ningekufukunyua
 
Mchunguze vizuri unaweza kita jogoo hapandi mtungi.
 
Back
Top Bottom