Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

data amenena vema sana.... Englishlady umesea kuwa huoni upendo wake....unasubiri janga gani hapo? changanya na zako hapo bibie.....
 
Last edited by a moderator:
Wewe embu mchane live na mwambie kuwa una nyeg* zen kama vp mwaqmbie kabsa kama awez utaupeleka mzgo kwa mtu mwngne
 
tehe... una maswali mengiiiiii kuhusu yeye.. ambayo majibu huna.

lakini unatamani/unajilengesha kumpa papuchi.. acha hizo wewe, wewe ni binti jitunze. Mahusiano si lazima kugongesha vikojoleo ebo!
 
0684810703, Nitafute Nikugegede Kwanza Ili Ukamfunze Inaonekana Ajui Kugegeda Then Utapata Jibu La Ujiulizacho.
 
aisee duniani kuna vioja na vitimbi sijui tutalisaidiaje taifa letu?
maana sijawahi demu unamranda dume kiihivyo?
kwani unafikiri upendo unapimwa kwanini bestito mpaka ufanye dhambi hiyo
ndipo ujue kuwa huyo dume anakupenda? ondoa dhana hiyo rafiki yangu
 


Hofu yangu ni kuwa ni kweli hado, ukizingatia maumbike ya mwanaume yalivyo na uafrica wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…