Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

Asante babu kw ushauri mzuri!

Shikamoo sana!
 
Last edited by a moderator:
Labda ni bwabwa
 
Asante babu kw ushauri mzuri!

Shikamoo sana!

Marahaba kidogo,

Umefikia wapi sasa?

Itakuwa vizuri ukitushirikisha mikakati yako ili tuone kama ushauri wetu umekuwa wa manufaa kwako....

Ila usiwe mtu wa kukata tamaa...sawa??....Ukizingatia kuwa mambo mazuri hayataki haraka...lol!!

Babu DC!!
 
Nitaleta mejesho, bado nachunguza, though nimekata tamaa sana, nahisi kuna kitu kingine alifuata kwangu
 
Nitaleta mejesho, bado nachunguza, though nimekata tamaa sana, nahisi kuna kitu kingine alifuata kwangu
Mh nakuonea huruma lakini huenda hiyo ni nafasi kwa sis wengine tunaoiweza hiyo kazi. Unikumbuke kwenye ufalme wako aise wala sitakuangusha Englishlady
 
Last edited by a moderator:
....Do! hii ya leo kali,kweli Dunia sasa imefika ukingoni kumalizika,nadhani imemalizika tayari bali mda tu haujafika,yaani unataka ugegedwe?napata wasix2 wewe sio Bikra,gazeti limeshafunguliwa na limesomwa .sasa unataka wasomaji waongezeke.kama ungekua huja-Doo ungeogopa.
 
Mh nakuonea huruma lakini huenda hiyo ni nafasi kwa sis wengine tunaoiweza hiyo kazi. Unikumbuke kwenye ufalme wako aise wala sitakuangusha Englishlady

Mada yangu haijaeleweka vyema, msingi wa hofu yangu sikutaka kugegedwa ila ni hofu hivi ni kweli wanaume wa kitanzania bila kugegeda inawezekana? Ana nini kichwani?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: SG8

Hayo mawazo yako.
 
Nitaleta mejesho, bado nachunguza, though nimekata tamaa sana, nahisi kuna kitu kingine alifuata kwangu

Ukijipa muda na kujipanga kila kitu kitakuwa wazi soon....hakuna marefu yasiyo na ncha....

Jipange pia ili upate ukwel....no free lunch mdogo wangu!!

Babu DC!!!
 
kwaiyo unataka ku do..!?
 
Mh me nadhani umshukuru tu mungu kwani anaonyesha kuwa na mapenzi ya kweri.
 
Hiyo ndio aina ya mapenzi yenu, endeleeni kuifuata nyota ya kijani!

Nafikiri anasubiri muda muafaka, huenda anao wengine wa kuchezea, wewe anakuandaa kuwa mwandani wake; acha ukicheche wako ili ujipatie mume huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…