Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?




Huyu atakuwa shoga tu anataka kukupotezea muda. Achana naye njo nikuoakate.
 
Mkuu hapo kwenye red na blue umenivuruga kabisa!
  • Red ujui kazini kwake wala ndugu zake.....=uzembe!
  • Hajawai kukupeleka kwake......Na Blue umeenda kwake mara mbili....Sasa kwao kuna husu nini wakati unajua kwake!!
  • Anatumia marafiki zake na ndugu zake kama unajua marafiki zake wambie wakupeleke kwake!
  • Unakaa na mtu ujui wapi pakumpeleka siku akizima???Kuhusu swala lakudu hapo kuna tatizo jamaa anakupenda ila nguvu zakiume zinampa shida sana na anaona aibu kukwambia sasa wewe tumia mda wako mkae mahali mmetulia hotel au beach ambako hakuna vurugu muulize kuhusu tatizo lako na umuaidi kumfichia siri na utamsaidia katika tatizo lake atafunguka na utakuwa mpenzi wake daima!!!
 
Wanawake wengine mna kazi kweli kweli. Mnywaji, hujui kwao na anakwepa kukupeleka, kwake umeenda mara mbili tu n haeleweki bado unataka akupandilie juu. Ama kweli wewe Englishlady.
 
 
Wanawake wengine mna kazi kweli kweli. Mnywaji, hujui kwao na anakwepa kukupeleka, kwake umeenda mara mbili tu n haeleweki bado unataka akupandilie juu. Ama kweli wewe Englishlady.

Naaam! She's such a Englishlady c'on I'm such a englishlad looking for her.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wengine mna kazi kweli kweli. Mnywaji, hujui kwao na anakwepa kukupeleka, kwake umeenda mara mbili tu n haeleweki bado unataka akupandilie juu. Ama kweli wewe Englishlady.

Hoja yangu sio kupandwa asilani, hoja yangu ni kutaka kumjua huyu, hivi ni kweli huyu yuko sawa kwa bono hii? Au kuna kitu kingine, hii ya kupandwa ni kueleza mazingira tu ya huyu mwanaume.


Kama ni mnywaji, ni kijana wa mjini asiyemcha Mungu, kwake hukujui, zengwe nyinginyingi je ni mwanume wa kujipa moyo? Au anavitu fulani anataka toka kwangu.
 



Kutokujua kazini kwake si uzembe, nimejitahidi sana kumwambia anipeleke amekataa kuwa bosi wake ni mkali hataki wageni, anasema hata mama yake wale ndugu zake hawakujui kazini kwake. Na kwa maelezo yake bosi wake huyo ni ndugu yake, basi mi nachoka kabisa, najiuliza ana mtu huko ofisini nini?


Huyu jamaa alipanga chumba baada ya ushauri wangu, na kwa hivyo 99% pamoja na kupanga chumba bado anakaa kwa mjomba ake, anasema amepanga kwasababu ya kuweka vitu, sijamuelewa, nimemshangaa sana. Nimemwambia sana siku ukifa au ukiumwa sana ni aibu mimi kuulizia kwenu au ndo sitafika kukuzika.

Hawa marafiki nao hawakujui kwao


Kusema jamaa sio mzima sio kweli ila ananizuga tu kujifanya hataki mambo hayo au hana haraka nami, nafikiri inawezekana kuna mtu anammalizia shida zake.
 
Issue yako ni ndefu;
-we mwenyewe hujui unachotaka, mume au mtu wa kukupa utamu
-unajishushia hadhi kwa kufanya romance uchochoroni (sehemu tulivu ziko nyingi)
-we mwenyewe hygienically uko sawa?( wanaume wengine wako sensitive sana)
-kama unashindwa kumwambia unachotaka(ngono) utaweza kumwambia mkapime gonjwa?
-labda uko aggressive sana, anapata ngiri tumboni ukisha shika mic yake
sababu yeye hajauliza hatuwezi msaidia;
Hivyo;
inawezekana uko nae kwa sababu gani sasa?
ACHANA NAE, NDOA SIO SHEREHE PEKE AKE. TENDO LA NDOA NDIO MUHIMU ZAIDI
 
Huwa sipitagi hapa,mi nipo kule kwa wanasiasa.Haya yenu nawaaachia
 
na ndio maana sifa y kwanza ili uwe mpenz wangu lazima unipe papuch kwanza baada y hapo ndio ndoto zingine zinafuata, la sivyo zarau zitakuwepo bila kumgegeda kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…