Hivi wanaume huwa mnapata nini kwenye matiti?

Kitufe cha kuonesha kuwa una wivu na jambo lililojitokeza kiko wapi Wakuu? @Mods
Kuna reply nimeiona imeniacha na wivu.
Wivu ni sumu ya penzi,,, tunamkimbiza mwizi kimya kimya😛😛😛
 

Kunyonya matiti kwanza kuna faida kwa mnyonywaji hawezi pata kansa ya matiti kwaiyo kazi iendelee
 
Kweli unaweza kuendesha bila kushika gear lever?
 
Dada kuna aina na sina za matiti.sasa matiti km ndala ya nini??
 
Mkuu una uhakika nije nikukutanishe na kwapa langu? 😀 si mchezo ujue?
Wewe jiulize Adam na Hawa walivyokutana wala hakukuwa na deodorant wala perfume, sasa mimi kwapa lako najua kabisa litakuwa na natural body odour yako. Nini sasa shida, believe me you, mimi nitansinzia tu kwa raha.
 
Wanaume hatuna sababu za kuelezea kinachopatikana wakati wa kunyonya chuchu za mwanamke. Anayenyonywa anajua.

Hivi ukiniuliza raha ya kusuguliwa unafikiri ntakupa jibu? Mimi niulize raha ya kukukojolea ndani ya......
Kila mtu na raha yake

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…