shamzugi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 535
- 1,115
Ilikua nisitishe hilo zoezi, ila kwa heshima yako ntaendelea hadi pale utakapoamua vinginevyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kwahiyo unataka waache hilo zoezi? Wee waendelee tu kuna wanaopenda[emoji2088][emoji2088]
Wakaka endeleeni tu achaneni na porojo za mtoa mada[emoji14]