mekumiss ujue ila nimetoa tahadhar kwa mdogo wako tyr maan ile siku ilikuwa kibokoMdogo yana nafuu mdogo wangu.
Mkuu,ungewauliza wenyewe ndyo ungepata majibu sahihi!
Yaliopo yanahuzunisha saana!
Nikiwaona tena nitawauliza
Kiasili beach boys wanatumia kwa ajili ya kubeba ramani na picha za excursions,pia kuna zingine hazipitishi maji zinasaidia kuweka simu kwa wale watu wafanyakazi wa beach but kila kitu inategemeana na mazingira au unatumiaje.Zanzibar wanaume kubeba mikoba ni kawaida tu wala hatushangai sie
Sawa mkuu [emoji16][emoji16]Kiasili beach boys wanatumia kwa ajili ya kubeba ramani na picha za excursions,pia kuna zingine hazipitishi maji zinasaidia kuweka simu kwa wale watu wafanyakazi wa beach but kila kitu inategemeana na mazingira au unatumiaje.
Mwingine ukimwona huna doubt kitu cha kawaida ila mwingine unajua huyu ni Volkswagen,gari lenye engine nyuma
Madogo yananafuu Ukhutymakubwa hay
kabisa yan upo lknMadogo yananafuu Ukhuty
Eti wapenzi wenu huwa wanaweka nini...Nimeshawahi kukutana na couple moja eti mwanaume kabeba kimkoba na mwanamke kabeba pia....!! U Gentlemen unaanza kupotea sasa hapa nani atambebea mwenzie mkoba...!!
Kweli yajayo yanashangaza.View attachment 774805View attachment 774807View attachment 774813
Hahahaa. Bora sababu sio kwa kutuweka kule.mekumiss ujue ila nimetoa tahadhar kwa mdogo wako tyr maan ile siku ilikuwa kiboko
Nipo Ukhuty majukumu tu yananipeleka speedkabisa yan upo lkn
etiee pole mpenzNipo Ukhuty majukumu tu yananipeleka speed