Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

Mkuu,ungewauliza wenyewe ndyo ungepata majibu sahihi!
Yaliopo yanahuzunisha saana!
Nikiwaona tena nitawauliza
Zanzibar wanaume kubeba mikoba ni kawaida tu wala hatushangai sie
Kiasili beach boys wanatumia kwa ajili ya kubeba ramani na picha za excursions,pia kuna zingine hazipitishi maji zinasaidia kuweka simu kwa wale watu wafanyakazi wa beach but kila kitu inategemeana na mazingira au unatumiaje.

Mwingine ukimwona huna doubt kitu cha kawaida ila mwingine unajua huyu ni Volkswagen,gari lenye engine nyuma
 
Sawa mkuu [emoji16][emoji16]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nicheke kwa herufi kubwa, wanaume wengi wanawaonea wivu Dada zao so wakaanza kutoga masikio ili wote wavae hereni, ikaja kusuka, mara kuvaa skin tight za Dada zao, imekuja kuvaa viatu vya kike sasa kubwa kuliko pochi za kike....kweli yajayooooo yanafurahishaaaa, je upo tayariiiii????
 
Wanawake wengi huwa wanapenda wanaume mapoyoyo kama hawa wakizani ndo wanaojielewa, fanyeni uchunguzi mtanipa mrejesho
 
Back
Top Bottom