Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

Mmh. Nimejikuta napatwa na mshangao. Kazi ipo lakini sababu tunakoelekea watatupita sisi wanawake.

Pia niseme jibu halitapatikana sababu sidhani kama itatokea Me wa jf aseme huwa anabebaga kapochi. Hahaaaa.
Heheheheee hawezi kusema...

Ila mi pia najiuliza sipati jibu ni nini wanaweka kwny hizo handbag, mweh
 
saaf inapendeza
 
Mmh. Nimejikuta napatwa na mshangao. Kazi ipo lakini sababu tunakoelekea watatupita sisi wanawake.

Pia niseme jibu halitapatikana sababu sidhani kama itatokea Me wa jf aseme huwa anabebaga kapochi. Hahaaaa.

kuwapita nyie hatuwezi kamwe ...nyie huwa mnatembea na vipochi viwili hiko cha kubeba na kile kipochi manyoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…