Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo wa mwisho ni jinsia gani? Dunia hii imeshakuwa balaa,haifai hata kuitwa tambala tenaEti wapenzi wenu huwa wanaweka nini...Nimeshawahi kukutana na couple moja eti mwanaume kabeba kimkoba na mwanamke kabeba pia....!! U Gentlemen unaanza kupotea sasa hapa nani atambebea mwenzie mkoba...!!
Kweli yajayo yanashangaza.View attachment 774805View attachment 774807View attachment 774813
Hahahaaa. Labda Mkuu.Labda na mimi nkienda nje ntakuwa nabeba maana wanasema ukienda nnje ndo utaona umuhimu wake
Heheheheee hawezi kusema...Mmh. Nimejikuta napatwa na mshangao. Kazi ipo lakini sababu tunakoelekea watatupita sisi wanawake.
Pia niseme jibu halitapatikana sababu sidhani kama itatokea Me wa jf aseme huwa anabebaga kapochi. Hahaaaa.
Wapo wengi sana mjini huko tunawaona wamebeba hvyo vipochi mkuu, labda wewe hutembeiMbona picha sio za nchi hii alafu mnasema Wa dar Wa dar wamewafanya nini
Acha unaa.. In Mrema voice
mimi kile changu kidogo kidogo nabebeaga bangi[emoji41] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Eti wapenzi wenu huwa wanaweka nini...Nimeshawahi kukutana na couple moja eti mwanaume kabeba kimkoba na mwanamke kabeba pia....!! U Gentlemen unaanza kupotea sasa hapa nani atambebea mwenzie mkoba...!!
Kweli yajayo yanashangaza.View attachment 774805View attachment 774807View attachment 774813
saaf inapendezaUkiwa inje ndo uta jua umuhim wake , like kubeba passport, power bank kama mnavo jua smartphone nying hazikai na charge, wengine wana Weka camera ndogo, earphones, Busines card wallet, some receipts za madukan kama ume weka Oder kwa wafanya biashara nk.
Mmh. Nimejikuta napatwa na mshangao. Kazi ipo lakini sababu tunakoelekea watatupita sisi wanawake.
Pia niseme jibu halitapatikana sababu sidhani kama itatokea Me wa jf aseme huwa anabebaga kapochi. Hahaaaa.
Umesahau ile mnayovaa mkiwa anga za juuWanaweka simu,charger,power bank,na handkerchief!
npo chini ya jua mkuuunapatikana wapi Mkuu
Mmh.kuwapita nyie hatuwezi kamwe ...nyie huwa mnatembea na vipochi viwili hiko cha kubeba na kile kipochi manyoya
poaaSawa
Hatari sanaNilipoangalia mwanzo nilidhani ni ke kutokana na mwonekano wake