Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Asante mamii na ndio dunia ya wanumeetiee pole mpenz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mamii na ndio dunia ya wanumeetiee pole mpenz
Wengine ni menyu, si unaona viuno vimepinda kabisa?Eti wapenzi wenu huwa wanaweka nini...Nimeshawahi kukutana na couple moja eti mwanaume kabeba kimkoba na mwanamke kabeba pia....!! U Gentlemen unaanza kupotea sasa hapa nani atambebea mwenzie mkoba...!!
Kweli yajayo yanashangaza.View attachment 774805View attachment 774807View attachment 774813
Na kweli hawazi pata mtu wa humu [emoji23][emoji23]Mmh. Nimejikuta napatwa na mshangao. Kazi ipo lakini sababu tunakoelekea watatupita sisi wanawake.
Pia niseme jibu halitapatikana sababu sidhani kama itatokea Me wa jf aseme huwa anabebaga kapochi. Hahaaaa.
Mmh. Nimejikuta napatwa na mshangao. Kazi ipo lakini sababu tunakoelekea watatupita sisi wanawake.
Pia niseme jibu halitapatikana sababu sidhani kama itatokea Me wa jf aseme huwa anabebaga kapochi. Hahaaaa.
Doooh kaka yangu mkubwa alikua anabeba ka kishikaji anaweka hela, simu, sigara zake na kila kolokolo maana alikua mtu wa tungiiiiiii na hiyo tabia alikua nayo alipotoka nje huko kwa trampuuuu ila enzi zile za rais bush...ila now sioni tena naona amekua, hizo kubeba pochi ni tabia za umama umama kuzidiMie nnabeba kabegi kama hako japo sio kila mahali. Inategemea na nnachotakiwa kwenda nacho.
Nilipoangalia mwanzo nilidhani ni ke kutokana na mwonekano wakeHahahah duuh Huyo wa mwisho kazidisha Si Kwa Limkoba hilo
Ooh. Sawa.Mie nnabeba kabegi kama hako japo sio kila mahali. Inategemea na nnachotakiwa kwenda nacho.
Hiki ndo unachokiweza tuNgoja niwahi siti