Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

akaa nafikiri watakuwa wameshafika pm loo,ila napitia mitongozo ya pm nacheka sana kuna watu wana mitongozo ya kizee ha ha ha ha ha ha
hahaha [emoji23][emoji23] acha kutuaibisha ss amu...[emoji20][emoji20][emoji125][emoji125]
 
mimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,
amu na wewe umefanikiwa kumpata wako jf?

Hongera shost
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dada mbaya wewe. Kwahiyo ukaniacha nichit chat na shemeji hata kunishtua jamani. Sasa wengine wanaweza mchukia mtu akiona hivyo ila mtu muelewa unaona aaah waache wachangamshe jukwaa tu. Hadharani unazuga ila wa ukweli hutaki hata akuquote watu wasimuone
Kwamba watamuiba ama nene?
 
Back
Top Bottom