Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hahahahaha......hakika siku ya hukumu wengi tutachomwa moto kwa hii dhambi ya kupenda penda hela.. make imeandikwa hata katika biblia Waebrania 13:5
"MSIWE NA TABIA YA KUPENDA FEDHA; MWE RADHI NA VITU MLIVYO NAVYO ;KWAKUA YEYE MWENYEWE AMESEMA SITAKUPUNGUKIA KABISA WALA SITAKUACHA KABISA"


- ila Kuna wanaume wamejaaliwa jamani watu vismart siooo vya nchi hiiiiii.. pesa ipoooooo mambo anayawezaaaaa basi inakua hatareeeeeeeeeeeee hahaha nacheka kama mazuri vileeee
kwa hiyo mahondaw unataka kusema smart pesa ipo na kazi anaiweza?haya ndugu wajumbe wamesikia watalifanyia kazi
 
wewe unasema changamsha genge ila amini asilimia 90 za uzi na wanaoitana bae,honey wanakulana wale wahuni ndo wanadai kuwa oo mahusiano yetu yasiharibu ushirika wetu jf,asilimia 90 ya wanaoandika na kuitana wapenzi humu wanakulana,mie nlikuwa namtania mmoja kuwa nitampindua wee demu akanjia pm,toka hapo nikasema naheshimu wanaoitana darling whatever we unasema utani kumbe wanakulana halafu unasababisha mtu apate ugonjwa wa moyo anajenga chuki,
[emoji23][emoji23][emoji23] acha bwana...
 
Back
Top Bottom