Asee, leo ndio nimeelewa kumbe huko pm kuna majanga ya kiwango cha drimulaina.sio vizuri kucheka wakati wenzako tunapitia magumu hapa...[emoji20][emoji20]
hahaha na ziheshimiwe ndoaAtakua anahudumia ndoa saa hizi [emoji23][emoji23]
Kama ulikuwepo kwa Akili yangu..wafaa kuwa Mwenyekiti..nitakua msaidizi wako
hahaha [emoji23][emoji23] acha kutuaibisha ss amu...[emoji20][emoji20][emoji125][emoji125]akaa nafikiri watakuwa wameshafika pm loo,ila napitia mitongozo ya pm nacheka sana kuna watu wana mitongozo ya kizee ha ha ha ha ha ha
nishamwambia aoeHahahaaa. Nshapita mdogo wangu.
Ya kweli hayo anayosema Kaka Masai (Daby)
Mmh, geuza njia tafadhali shem wetu huku unakoelekea siko huku kabisaa.Hahahahaha..
hivi hakuna wanaume maharage ya mbeya?? ahahaha
amu na wewe umefanikiwa kumpata wako jf?mimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,
Ohoo... kula ovyo kweli ni tabia mbaya. Ila kudinya papuchi hovyo ni afya kwa mdinyanyi na wadinywaji..Hiyo ya kula kula hovyo
Kwamba watamuiba ama nene?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dada mbaya wewe. Kwahiyo ukaniacha nichit chat na shemeji hata kunishtua jamani. Sasa wengine wanaweza mchukia mtu akiona hivyo ila mtu muelewa unaona aaah waache wachangamshe jukwaa tu. Hadharani unazuga ila wa ukweli hutaki hata akuquote watu wasimuone
Eeeh. [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba watamuiba ama nene?
Hapana..Acha tu,siwezi weka hapa,cz bado nampenda ,namsoma tu humu/hapaUlijibiwa nini?
Kama wewe...ulikuwa wapi?Duh, kuna ID nyingine ndo kwanza leo naziona humu, ngoja tuendelee.
POLEHapana..Acha tu,siwezi weka hapa,cz bado nampenda ,namsoma tu humu/hapa
asante [emoji4]pole jamani halafu wewe mtu wewee[emoji35][emoji35]
Tanga raha kwakweli teh tehhahaha tanga oyeeeee@hajar@mzigua90@shunie
hahaha hatuonani kwa niniasante [emoji4]
mm tena nimefanya nn ukhuty!![emoji134][emoji134][emoji134]