Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,818
Umesema ukweli hapanikupe siri, wanaume hatupendi mwanamke mwenye maneno mengi na kuongea sana...hata awe mzuri zaidi ya malaika,
hawa waongeaji wa kawaida tu wanatutoa jasho ss akiwa wa type yake si hatari