Dannis
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 1,603
- 1,702
Hii itakuwa maharage ya mbeya na siyo msaada mixer na ubwabwa wa kyela.huyo sio maharage bali kakusaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itakuwa maharage ya mbeya na siyo msaada mixer na ubwabwa wa kyela.huyo sio maharage bali kakusaidia.
JF BHANAFungua id nyingine jisifieeeee kama jinga moja hivi.
Ukitoka hapo fungua id nyingine jitongoze na declare unaipenda id yako inayojulikana na wengi kama jinga moja hivi.
Kisha jifanye unajua kila kitu umeishi na viongozi wengi kama jinga moja hivi.
La mwisho usisahau kutembea na ilani popote ulipo kama jinga moja hivi.
DuuuhDuh, kuna ID nyingine ndo kwanza leo naziona humu, ngoja tuendelee.
komaa mkuu wewe mwanaume bana,wanawake tunajibu shombo ni kama kamechanism fulani kujenga ukuta usizoeane na wanaume ovyo,usikate tamaa mfate pm komaa kitaeleweka tu labda awe ameolewa au amewahiwa ila kama yuko loose luzi mpe attention yako tuInauma sana Mkuu, binafsi naumia mno,nabaki kusoma/kumsoma tu humu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]tuna kesi ujue makopa vip mpk mate yamekauka
churaaaaDuh!!....Kumbe mahandsome nao wanasota![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]sawa bana[emoji4][emoji4]
Atume Kwanza 100,000. Dawa itakuwa shilingi ngapi?Mkuu nina dawa ya kumvuta mwanamke yeyote umpendae na akaja mwenyewe hadi geto kwako.
Tuma Tsh 100,000 kwanza ndio tuingie kwenye maongezi
bora uje tu maan nimengoja vya kutosha[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] naja kujishitaki mwenyewe mdogo wangu.
Akikuelewa atafanikiwakomaa mkuu wewe mwanaume bana,wanawake tunajibu shombo ni kama kamechanism fulani kujenga ukuta usizoeane na wanaume ovyo,usikate tamaa mfate pm komaa kitaeleweka tu labda awe ameolewa au amewahiwa ila kama yuko loose luzi mpe attention yako tu
Na mimi nasubiri majibu hapa hapa. Ngoja nikae mkao wa kudesa.wakuu kwema....
Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.
tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.
hata upstairs yuko vizuri we siunaona maandishi komaa wasije muwahiNgoja nikamuanze siwezi acha hii nafasi inipite
Niamini mimi hao wanajitapaga huku wanatukula utakuta hajawahi kumiliki hata namba ya simu ya mdada yeyote wa JF wanajishauaga tu
Ila unatakiwa ujue kuwa anayekuzungusha wewe muda mrefu mwingine anapewa ndani ya saa moja na yule yule aliyekuzungushaSipendi ' Kusaidiwa ' kiuwepesi hivyo Mkuu. Halafu katika Historia yangu ya ' Kungonoka ' huwa sipendi Mwanamke asiyenisumbua katika kunipa ' Mbunye ' yake na nikikutana na Mwanamke Maharage ya Mbeya huwa namdharau / nawadharau sana tu. Hakuna raha utamu kama Kula nyama uliyoihangaikia kwa muda mrefu Mkuu.
Lakini tutakula ila kwa jasho et?mtakula kwa jasho