Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Fungua id nyingine jisifieeeee kama jinga moja hivi.

Ukitoka hapo fungua id nyingine jitongoze na declare unaipenda id yako inayojulikana na wengi kama jinga moja hivi.

Kisha jifanye unajua kila kitu umeishi na viongozi wengi kama jinga moja hivi.

La mwisho usisahau kutembea na ilani popote ulipo kama jinga moja hivi.
JF BHANA
 
Inauma sana Mkuu, binafsi naumia mno,nabaki kusoma/kumsoma tu humu
komaa mkuu wewe mwanaume bana,wanawake tunajibu shombo ni kama kamechanism fulani kujenga ukuta usizoeane na wanaume ovyo,usikate tamaa mfate pm komaa kitaeleweka tu labda awe ameolewa au amewahiwa ila kama yuko loose luzi mpe attention yako tu
 
komaa mkuu wewe mwanaume bana,wanawake tunajibu shombo ni kama kamechanism fulani kujenga ukuta usizoeane na wanaume ovyo,usikate tamaa mfate pm komaa kitaeleweka tu labda awe ameolewa au amewahiwa ila kama yuko loose luzi mpe attention yako tu
Akikuelewa atafanikiwa
 
wakuu kwema....

Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!

tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?

Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.

tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.
Na mimi nasubiri majibu hapa hapa. Ngoja nikae mkao wa kudesa.
 
Daby
1.Jitahidi uwe na vihela hela kidogo vya kuwahonga.

2.Usimwambie mwanamke ukweli, Kwa sababu wanaamini uongo zaidi kuliko ukweli. Ukimwambia mwanamke ukweli anakukataa, ila ukisema uongo anakubali.


3.Usimpe mwanamke moyo wako(usimpe upendo wote wa kweli atakufanya zuzu).



4.Tongoza wasichana/wanawake wengi hata 10 au 20, Ili mmoja akitaka kukupanda kichwani, unamshiit na unaenda kwa hao wengine 8 au 19 waliobaki.
 
Sipendi ' Kusaidiwa ' kiuwepesi hivyo Mkuu. Halafu katika Historia yangu ya ' Kungonoka ' huwa sipendi Mwanamke asiyenisumbua katika kunipa ' Mbunye ' yake na nikikutana na Mwanamke Maharage ya Mbeya huwa namdharau / nawadharau sana tu. Hakuna raha utamu kama Kula nyama uliyoihangaikia kwa muda mrefu Mkuu.
Ila unatakiwa ujue kuwa anayekuzungusha wewe muda mrefu mwingine anapewa ndani ya saa moja na yule yule aliyekuzungusha
 
Back
Top Bottom