Umesema ukweli hapanikupe siri, wanaume hatupendi mwanamke mwenye maneno mengi na kuongea sana...hata awe mzuri zaidi ya malaika,
hawa waongeaji wa kawaida tu wanatutoa jasho ss akiwa wa type yake si hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dada mbaya wewe. Kwahiyo ukaniacha nichit chat na shemeji hata kunishtua jamani. Sasa wengine wanaweza mchukia mtu akiona hivyo ila mtu muelewa unaona aaah waache wachangamshe jukwaa tu. Hadharani unazuga ila wa ukweli hutaki hata akuquote watu wasimuone
[emoji4][emoji4]Umesema ukweli hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]g lazima yamkute na jana kuna watu walimkesesha pm,fisi pale wametamua midomo yao,ndo maana hata pm zetu wadada alikuwa hajibu namuangalia tu gire
unafkr akiwa na mwanaume aliempenda atakuwa na mijineo na mithread yake,najua wanaume kelele stress hampendi ila mtuvumilie jamani kuongea tunapata relief sisi si kama nyie mna koromelonikupe siri, wanaume hatupendi mwanamke mwenye maneno mengi na kuongea sana...hata awe mzuri zaidi ya malaika,
hawa waongeaji wa kawaida tu wanatutoa jasho ss akiwa wa type yake si hatari
Acha tu mdogo wangu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]eti maharage ya Mbeya kuna vijimisemo humu