Eeeh. Hivi watu hatujuani unaanzaje kusema kila unaemtongoza unakula. Ina maana tunaambiana mtu alivyo auafadhali umenipa moyo maana nilikuwa najiuliza mimi ninashida gani!
kumbe wanajisifia tu!
Tutoleane macho mpaka tuchoke bby ndo tumalizane.Mambo beb.
Hivi tutatoleana macho hadi lini?
Sema mambo ya tanga ukionja lazima uonje tena na tena.
Ndugu yangu daby alikamatwaga na mtoto wa kitanga majani mapana.
Kila week end anapeleka mihogo ya kukaanga
Hahahahahaa. Naona unamshtua awahiIvuga Umenfurahisha Sana,daby We Deal na giresi kakusifia mara 2 ujue
Wacha wee.Ila watoto wa Tanga wanajua mapenzi bwana.
kipindi hicho nilikuwa natembezwa majani mapana hadi mikanjuni kwa miguu kwenda na kurudi.
sauti zao tu... unajikuta umesahau Agricu ya mshana.
Kwa gilesi ilikua ajali kazini [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu smartphone zipo hadi za elfu 30 unanunua hata 3 ili ukamilishe azma yako.
Au kama una mashine na kuna sehemu kuna wifi id nyingine inakua ya kwenye mashine nyingine inakua kwa ajili ya simu.
Sijui hata gilesi alishindwaje kujiongeza.
Huyu masai huyu nimeona wadada kama watatu wamemsifia namshangaa hapaHahah.
Tena dabi akisifiwa ndio anakimbia kabisa.
Yule naye ni mshamba mchangamfu kelele mingi kumbe hajui hivi ni vyombo vya umeme.Kwa gilesi ilikua ajali kazini [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mbinu basi kaka,kaka wewe watumia mbinu gani shekh
daah... poa baba wacha nianze kufanya mambo... ukiona Id mpya imesifiwa jua nimeanza kazi.Mkuu smartphone zipo hadi za elfu 30 unanunua hata 3 ili ukamilishe azma yako.
Au kama una mashine na kuna sehemu kuna wifi id nyingine inakua ya kwenye mashine nyingine inakua kwa ajili ya simu.
Sijui hata gilesi alishindwaje kujiongeza.
wanaume hawana huruma wewe sisemi sana bora daby awahi naweza sema atakuwa salamaHahahahahaa. Naona unamshtua awahi
Utani tu bwana. Mi nilisifia wawili humu mmoja hata pm hatukuwahi kuchat ubeb wa kwenye nyuzi tuu.wewe huoni hadi nyuzi za kusifiana?
Sema avatar yake inatamanishaHuyu masai huyu nimeona wadada kama watatu wamemsifia namshangaa hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule naye ni mshamba mchangamfu kelele mingi kumbe hajui hivi ni vyombo vya umeme.