Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Ivuga Umenfurahisha Sana,daby We Deal na giresi kakusifia mara 2 ujue
Tatizo grace anapenda wanaume wa nchi za nche... mie nitamchungisha n'gombe.

kama atakubali kuishi nami bomani niitie pls.
 
Mambo beb.

Hivi tutatoleana macho hadi lini?

Sema mambo ya tanga ukionja lazima uonje tena na tena.

Ndugu yangu daby alikamatwaga na mtoto wa kitanga majani mapana.
Kila week end anapeleka mihogo ya kukaanga
Tutoleane macho mpaka tuchoke bby ndo tumalizane.
 
Mkuu smartphone zipo hadi za elfu 30 unanunua hata 3 ili ukamilishe azma yako.

Au kama una mashine na kuna sehemu kuna wifi id nyingine inakua ya kwenye mashine nyingine inakua kwa ajili ya simu.

Sijui hata gilesi alishindwaje kujiongeza.
daah... poa baba wacha nianze kufanya mambo... ukiona Id mpya imesifiwa jua nimeanza kazi.
 
Back
Top Bottom