Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Fungua id nyingine jisifieeeee kama jinga moja hivi.

Ukitoka hapo fungua id nyingine jitongoze na declare unaipenda id yako inayojulikana na wengi kama jinga moja hivi.

Kisha jifanye unajua kila kitu umeishi na viongozi wengi kama jinga moja hivi.

La mwisho usisahau kutembea na ilani popote ulipo kama jinga moja hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahah hapo utakua kama jinga moja hivi
 
Utani tu bwana. Mi nilisifia wawili humu mmoja hata pm hatukuwahi kuchat ubeb wa kwenye nyuzi tuu.
oouh... basi labda huyo mwingine wa pili ndiye mmojawapo anayetangaza humu wanawake wengi maharage ya mbeya.

nimesema huenda.
 
Back
Top Bottom