Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kumbe wanadamu tumeumbwa kwa mfano wa wanyama na tunatakiwa tufuate maisha ya wanyama??
Sasa pale mwanaume alipoambiwa na Mungu kuwa atakula kwa jasho lake sijui pafutwe tu maana tumeshakuwa wanyama sasa!!
Misimamo yangu ipi hiyo??
Upo macho?, mmeo hayupo Leo?
Misimamo yako ya chuki zidi ya wanaume
Congrats.....20 years in marriage is not a simple game...Tatizo wanaume mkiambiwa ukweli na wanawake mnasema mnachukiwa ningekuwa nawachukia wanaume nisingedumu kwa miaka 20 kwenye ndoa maana sijaolewa na mwanamke mwenzangu!!
Wanapenda wanapokuwa wakiongea wao uwasikilizwe tuu ukae kimya,usipinge,UKIWA UNAMUELIMISHA AU KUMUELEKEZA kwamba kiko hivi hakipohivyo unavyosema wewe(ukimpinga tuu)Unataka kuwa sawa na mwanaumeHabari za usiku huu wana JF?
Mie wala siyo mwingi wa habari ila nilitaka tu kuwauliza ninyi kaka zetu hili swali kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.
Swali: Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha usawa kivipi yaani kwenye mambo yepi haswa?
Swali la nyongeza: Je, mnataka wanawake tusifanye makosa ila wanaume mfanye makosa halafu wanawake tukae kimya tusiwaambie na wala tusiwafanye chochote au mnatakaje?
Naombeni majibu yenu tafadhali na hata wanawake wenzangu pia mnaweza kujibu chochote mnachojua kuhusiana na hayo maswali maana mimi sina majibu kabisa.
OK. Kumbe story za vijiweni tu but nyumbani you respond carefulTatizo wanaume mkiambiwa ukweli na wanawake mnasema mnachukiwa ningekuwa nawachukia wanaume nisingedumu kwa miaka 20 kwenye ndoa maana sijaolewa na mwanamke mwenzangu!!
Congrats.....20 years in marriage is not a simple game...
Tulio kwenye ndoa tunafahamu..
Ndoa zinadumu kwa vile ni agizo la kanisa kuwa kifo ndiyo kitawatenganisha ...
Otherwise kuna ndoa mtu akifanikiwa kuchomoka, harudii ng'ooooo....!!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ni wanaume wachache sana wanaelewa hiliWanapenda wanapokuwa wakiongea wao uwasikilizwe tuu ukae kimya,usipinge,UKIWA UNAMUELIMISHA AU KUMUELEKEZA kwamba kiko hivi hakipohivyo unavyosema wewe(ukimpinga tuu)Unataka kuwa sawa na mwanaume
Tena mwingine atakwambia WEWE MWANAMKE GANI,WEWE MWANAUME TUU,anakutolea kauli chafu na za hovyo ili kukuvunja moyo kwa kile ulichokiongea au unachokiamini kionekane hakina maana
Wanaume kubalini kuchangia mada kwa utulivu, mwanamke anapochangia mada hataki usawa yuko kwenye mada husika
Ni bora kuongea kujadili kuliko kuwa kimya,
Ndiyo narespond 'careful' kwa sababu mume wangu hayupo kama wanaume wengi wa humu wa JF yeye anajielewa na kapata mke anayejielewa pia ila wavulana wa humu JF sijui shida yao ni nini kila kitu kuona wanawake tunataka usawa nao, pitty.OK. Kumbe story za vijiweni tu but nyumbani you respond careful
Sawa MkuuHata siku moja haitakujatokea mwamke akawa sawa na mwanaume Mungu alishapanga imetosha mwanaume atakuwa kichwa na atamtawala mwanamke. Ishu hapa kila mtu afanye wajibu wake kwa kadri ya mgawanyo wamjukumu kulingana na jinsi yake bila kumnyanyasa mwingine.
I think some women have to learn from you... Now days Most of the women can't withstand marriage challenges....Ndiyo hivyo ya kwangu imedumu kwa amani kabisa ingekuwa na misukosuko ningekuwa nimeshaomba talaka muda mrefu sana
Wachaaa weeeeee, hongera kwa kupata dume linalojielewa. Ila na mmeo unajua tunaye humu. Kama wa humu ni wavulana wasiojielewa na mmeo naye basi hajielewi.Ndiyo narespond 'careful' kwa sababu mume wangu hayupo kama wanaume wengi wa humu wa JF yeye anajielewa na kapata mke anayejielewa pia ila wavulana wa humu JF sijui shida yao ni nini kila kitu kuona wanawake tunataka usawa nao, pitty.
I think some women have to learn from you... Now days Most of the women can't withstand marriage challenges....
20 years, you have something to advice younger girls..[emoji41][emoji41][emoji41]
Wachaaa weeeeee, hongera kwa kupata dume linalojielewa. Ila na mmeo unajua tunaye humu. Kama wa humu ni wavulana wasiojielewa na mmeo naye basi hajielewi.
Kumbe humu tupo na shangazi zetu. Heshima kwako Mkubwa...First things first jua kutofautisha kati ya neno "wengi" na neno "wote" halafu urejee tena kusoma comment yangu
Last but not least mume wangu hayupo JF kwa sasa alishawahi kuwa member zamani na alijiunga tangu enzi za Jambo Forums ila alikuja kuachana nayo anasema Jamii Forums ilikuwa zamani siyo siku hizi hakuna jipya wavulana wengi kuliko wanaume na wasichana wengi kuliko wanawake hivyo katuachia sisi tulioijua JF juzi