Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,836
- 2,536
Kwa hiyo mume akirudi apige deki, aoshe vyombo, apike na aandae chakula mezani sioMwanaume kumsaidia mkeo kazi za ndani siyo kosa wala siyo dhambi kama tu yeye anavyokusaidia wewe kutafuta pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mume akirudi apige deki, aoshe vyombo, apike na aandae chakula mezani sioMwanaume kumsaidia mkeo kazi za ndani siyo kosa wala siyo dhambi kama tu yeye anavyokusaidia wewe kutafuta pesa
Mungu - Kristo - Mwanamume - Mwanamke. Nje ya hapo ni dhambi ya uasi. Umeona nani anayemwadhibu mwanamume?Na mwanaume akikosea naye anaadhibiwa na nani?? Au mwanaume hakosei kwa sababu tu 'yeye ndie mwenye ndoa"??
Kivipi Mkuu??
Amina mkuu na wewe pia!Daah yaani sijui hata niseme nini mkuu ila ubarikiwe sana
Halafu mbona wapo wengi tu hao unaowaita "wa haki sawa" wanaolewa na ndoa zao zinadumu??
Vitabu vya Mungu vinakataa mwanamke na mwaume kuwa sawa maana mwanaume ni kichwa cha nyumba kama sio family kama Yesu alivo kichwa kanisa... Mwanamke atakuwa chini ya mwanaume mpaka dunia itapita na hao wanaojihangaisha kupinga maelekezo ya Mungu mwenyewe na kupiga debe haki sawa kwa kila kitu washindwe na wako kinyume na Mungu yaani wanapinga Mungu.. Wanajidanganya.
Uwe sawa na Mwanaume yaani nawe uwe na dudu linalosimama na kuwezesha kutia mimba na kuzalisha au!!??
Uwe sawa na Mwanaume yaani nawe uwe kichwa cha nyumba au familia au!!??
Asante mkuu. Nadhani hapa umejibu kila kitu.
Chanzo kikuu cha ndoa nyingi balaa linaanza mwanamke akishazaa tu. Sijui dharau na kiburi vinatokeaga wapi aisee.
Okay wanasemaga jukumu la kulea familia ni la baba. Its okay na ni sawa kabisa. Sasa kama mimi jukumu langu ni kulea familia hasa hasa financialy ni kwa nini mwananke wangu akafanye kazi sasa. Yaani nimlipe house girl wakati mke wangu yupo. No thank you. Kama tumeamua,sote tifanye kazi then vitu vingine lazima uingie gharama tu aisee
Mwanamke mwerevu hata kama ana cheo kikubwa kiazi gani lakini anajua majukumu yake ndani ya ndoa ni yapi. Hawezi kuruhusu upuuzi huu unaoutetea. Kuna kazi ambazo baba anaweza kusaidia home kama usafi wa mazingira nje ya nyumba au mifugo. Lakini eti mumeo aingie jikoni kupika au kufua nguo au kudeki. Hapana aisee. Tutawakimbia tu muolewe na hizo degree zenu
Unawaponza wenzio na kama umeolewa sidhani kama hiyo ndoa yako itafika mbali ukiendelea na hizi akili zako aiser
Kwa hiyo mume akirudi apige deki, aoshe vyombo, apike na aandae chakula mezani sio
Ndiyo maana nikakwambia nipe andiko lilalomtaka mwanaume kumuadhibu mwanamke eti kwa sababu tu yupo chini yake!!Mungu - Kristo - Mwanamume - Mwanamke. Nje ya hapo ni dhambi ya uasi. Umeona nani anayemwadhibu mwanamume?
Hakuna anayetaka mwanaume na mwanamke wawe sawa au mwanamke awe juu ya mwanaume ila wanachotaka ni kwamba wanaume mtumie mamlaka yenu mliyopewa juu ya wanawake vizuri mnatakiwa muwalinde na siyo kuwakandamiza
Lazima mwanaume awe na ubwege fulani mamabo ndo yataenda
Nimesoma mawazo ya watu, mie ninapenda nichangie kwa kunukuu kauli ya mpenzi wangu siku moja wakati tunapiga piga story alidokeza ila mimi dawa iliniingia, "Kama mwanamke ameumbwa kuwa msaidizi kwa mwanaume, hivyo basi ikitokea huyu msaidizi akapata nguvu zaidi au akapewa mamlaka au majukumu ya mwanaume mambo yatabadilika kidogo na hali yake ya usaidizi haitakuwepo tena na atakuwa sawa na huyu aliyekuwa anasaidiwa na pengine kuchukua nafasi yake mwanaume hivyo hii inaweza kupelekea mwanaume kujihisi anatawaliwa au kudharauliwa". Kwa nukuu hii, nasema hivi mimi kama Mwanaume, kitu tunachokuwa tunalalamika wakati mwingine ni kwa sababu ya uzembe wetu mahala fulani katika kuwajibika kama kichwa cha familia, tuki wajibika kama Baba wa familia na wao wakafanya sehemu yao kama akina mama nahisi hizi lawama hatutaziona. Naomba kuwasilisha hoja
Mbona tunaafanya yote haya mamy jmn kama kuna mmoja au wawili hawawajibiki kwenye majukumu au wajibu wao ni hao hao sisi wengine tuko. Vizuri sana
Punguza hizo negativity. Simba dume hawindi but wakwanza kulaYepi mkuu?? Jamii nyingi za kiafrika zinamkandamiza mwanamke na tamaduni hizo kandamizi zilianzishwa na wanaume sasa mnawalinda vipi??
Kwahiyo kumbe wanadamu tumeumbwa kwa mfano wa wanyama na tunatakiwa tufuate maisha ya wanyama??Punguza hizo negativity. Simba dume hawindi but wakwanza kula
Yamefanyaje kwani??