Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka hapo we unaona Kuna 50/50?Tunataka mtuhudumie kiuchumi kwa sababu ya huo huo mgawanyo wa majukumu
Kuna ndoa mwanaume na mwanamke wanatoa pesa za mahitaji na huduma nusu kwa nusu yaani pasu kwa pasu na kuna ndoa ambazo mwanamke ndo anatoa pesa za mahitaji na huduma zaidi kuliko mwanaume hao nao unawaongeleaje?Tufafanulie mpenzi, maana mwanamke anaetoa elfu moja yake akanunua fungu la kitunguu huyo pia anachangia huduma.....
Mwanaume kutembea na dada wa kazi ni utashi wake yeye mwenyewe tu kama atakavyoamua kuchepuka na mwanamke mwingine yeyote yule..
Nataka nijue hayo majukumu unayoyazungumzia ni yapi haswa.. itapendeza ukiyataja..
Hiyo pasu kwa pasu inategemea unaweza mwambia mkeo akusaidie nusu ya gharama wakati wa uhitaji ila akishapata anakutumia anakurejesheaKuna ndoa mwanaume na mwanamke wanatoa pesa za mahitaji na huduma nusu kwa nusu yaani pasu kwa pasu na kuna ndoa ambazo mwanamke ndo anatoa pesa za mahitaji na huduma zaidi kuliko mwanaume hao nao unawaongeleaje?
Suala la mtu kuoa mtua aliyemzidi kipato au elimu na akaendeshwa huo ni uzembe wake na inabidi asubirie huruma au utashi wa mwanamke au atulie awe chini, ingawa kwangu mimi hata mwanamke awe na hela kivipi lazima nimdhibiti na lazima atulie.
Na kuhusu hilo la ndoa, ni kwamba ili ndoa idumu lazima kila mtu atimize majukumu yake, mke kujishusha kwa mume wake hata kama kosa ni la mume ( nafikiri hili lipo kwenye organization zote nchi; raisi , chuo; mkuu wa chuo, bunge; spika). Hivyo mwanamke akitimiza jukumu la kujishusha, ndipo mume atajieleza vizuri.
Ndo maana kuna ma house girl halafu huwa nawashangaa wengi wenu tunawawekea wasaidiz wandani kabisa mnalalamika eti majukumuu
kama mambo ganiKamaanisha kwenye pesa ndo wanaume mnakubaligi muwe sawa na wanawake yaani wote wanaume na wanawake tufafute pesa ila kwenye mambo mengine hamtakagi tuwe sawa
Unajua kabisa hauko sahihi lakini bado unaendelea kuwa mbishi bado unaendelea kuleta mashindano utadhani hamjui wajibu wenu
Unaona sasa hebu niambie hao wanawake wenzetu wa huko vijijini wana hali gani? Mimi sishangai kuwepo wanaume wa aina hiyo ila kinachonishangaza ni kwamba na wao nao wanataka waheshimiwe na wake zao kama wanaume wengine wanaotimiza majukumu yao yaani hilo ndo la ajabuTatizo mnaexaggerate utadhani hizo ndoa hata 50 zinafika.... Tukitoa vijijini ambapo wanaume kwa asilimia kubwa ni walevi na hivyo ni unfit kudeal na familia.
Hiyo pasu kwa pasu inategemea unaweza mwambia mkeo akusaidie nusu ya gharama wakati wa uhitaji ila akishapata anakutumia anakurejeshea
Lakini pia kwenye hilo la mwanamke kusimamia gharama kwa 100%inategemea mwanaume anachangamoto gani. Anaweza kuwa hana pesa sababu ya kukosa ajira na mambo kutokwenda sawa.....
Ndio hamfai kabisa kuolewa ni hatari kwa afya mnachotaka kukileta ni ushindani mnataka mapinduzi mwanaume akiongea na nyie muongeeTatizo mnatakaga wanawake tukubaliane na kila kitu wanaume mnachosema hata kama ni upuuzi mlishazoea wale wanawake wa kila kitu "ndiyo mume wangu"
Sasa siku hizi mmeona wanawake wa hivyo wamebaki wachache wengi tunahoji baadhi ya maamuzi yenu ya kipumbavu mnatuona wajeuri sijui hatufai kuolewa na mnajiona mko sawa kabisa upstairs
nyumbani kwenu mnaishije?? baba ako huwa anaosha vyombo au kupiga deki???Mfano kufanya kazi za ndani na namna ya kuishi kwenye ndoa kwa ujumla