Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
basi kwangu mimi nitakavyo ipractice hiyo ideology ni tofauti kabisa na hao wengine.Wewe ndo unataka kuanza? Mbona kuna wanaume wenzio walishaanza kitambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi kwangu mimi nitakavyo ipractice hiyo ideology ni tofauti kabisa na hao wengine.Wewe ndo unataka kuanza? Mbona kuna wanaume wenzio walishaanza kitambo?
Ni kweli, kwa sababu wanawake tumewazidi akili ila wanaume mmetuzidi nguvu.
Hahahaha naona wengi mnakazania kutoa huo mfano wa kuvamiwa na majambazi utadhani hayo majambazi ni sehemu ya maisha yaani kwamba yanavamiaga nyumba yenu kila siku mkuu tuongelee yale majukumu ambayo ni sehemu ya maisha yenu yaani yanafanywa kila sikuhakika hata wewe hujanielewa..
swali lako linasema "hivi wanaume mnamaanisha nini mnaposema tunataka usawa"?
na mimi nimeelezea jinsi gani msivyo uelewa hata huo usawa wenyewe mnaoutaka na badala yake mnahitaji FAVOR au EQUITY...
BTW, kwa hiyo wewe unataka usaidiwe kuosha vyombo na kupika?
je, utaweza kukabiliana na majambazi saba yenye silaha usiku wa manane wakati huo mimi nimejificha chini ya meza?
so women are smarter than men ...right?And the funniest truth as well
Iko hivi wanaume mnatafuta pesa na mnahudumia familia tu hamfanyi kazi za ndani wala hamlei familia lakini wanawake tunatafuta pesa tunahudumia familia tunafanya kazi za ndani na tunalea familia hapo nani anafanya majukumu mengi kuliko mwenzake?please put more elaboration on this, more responsibilities in which sense actually?
Yes, hivi mtu anapokutahadharisha kwamba uishi na nyoka au na simba kwa makini anamaanisha kwamba wewe ni mjanja kuliko nyoka au simba? Au ndo kusema hamjaelewa kwamba hapo ni kama mmetahadharishwa muishi na sisi kwa makini?so women are smarter than men ...right?
Source ni maisha ya watu kwenye jamii
hahahaha... Braza BAK huyu dada kanifurahisha sana na hiyo comment yake.Show me your source for this conclusion.
Nazungumzia hii hii jamii ambayo mwanamke akitendwa inaonekana kawaida ila mwanaume akitendwa inaonekana kaonewa ningekupa mifano mingi nikakuelezea kwa kina sanaOkay but IMO that is not a very good source to come up with such a conclusion. I am not sure which society you’re talking about.
Mkuu kwako wewe akili ni za darasani na za kiugunduzi tu? Kama ndivyo unavyoamini polehahahaha... Braza BAK huyu dada kanifurahisha sana na hiyo comment yake.
kuwa wanawake wanaakili nyingi kuliko wanaume. wakati huo mpaka leo hii hakuna discovery yoyote iliyofanywa na mwanamke kwa faida za mwanaume, ila yeye hata hiyo bra aliyoivaa mgunduzi wake ni mwanaume.
Yes, hivi mtu anapokutahadharisha kwamba uishi na nyoka au na simba kwa makini anamaanisha kwamba wewe ni mjanja kuliko nyoka au simba? Au ndo kusema hamjaelewa kwamba hapo ni kama mmetahadharishwa muishi na sisi kwa makini?
Nilijua tu kuwa ungekazia kwenye huo mfano nilioutoa kuliko ujumbe wenyewe na ndo maana nikaongezea na mfano wa simba ila huo ni kama haujauona vile haya nipe vigezo ulivyotumia kusema kuwa wanawake ni nyoka mimi kwangu nimetumia kama mfano ila kwako umetumia kama kutuelezea wanawake tulivyo basi ndo unielezee sababu kwanini umesema hivyohuu huu mfano wako tu, unaonyesha nwanamke ni dhaifu kiakili. kwa maana hapo mwanamke ni nyoka
Aisee hivi hii jamii unayoiongelea ndio hii nnayoishi mimi au tunaishi kwenye jamii tofauti?Iko hivi wanaume mnatafuta pesa na mnahudumia familia tu hamfanyi kazi za ndani wala hamlei familia lakini wanawake tunatafuta pesa tunahudumia familia tunafanya kazi za ndani na tunalea familia hapo nani anafanya majukumu mengi kuliko mwenzake?
Nazungumzia hii hii jamii ambayo mwanamke akitendwa inaonekana kawaida ila mwanaume akitendwa inaonekana kaonewa ningekupa mifano mingi nikakuelezea kwa kina sana
Lakini ninachohofia ni kupoteza muda wangu kuandika halafu bado usiniamini maana wanaume hamjawahi kukubali kushindwa na wanawake hata kwenye mambo ambayo inaonekana wazi kabisa kuwa wanawake ndo wako sahihi
Nielimishe sasa sio unipe pole.Mkuu kwako wewe akili ni za darasani na za kiugunduzi tu? Kama ndivyo unavyoamini pole
Mnajifanya hamzioni ndoa ambazo wanawake wanatafuta pesa na wanawasaidia waume zao kuhudumia familia? Kitu usipokiona au kukisikia wewe basi haimaanishi kwamba hakipo au hakijawahi kutokea haya mambo yapo na tunayashuhudia kwenye ndoa nyingiAisee hivi hii jamii unayoiongelea ndio hii nnayoishi mimi au tunaishi kwenye jamii tofauti?
maana hiki unachokiandika hapa nj very unrealistic na nnachokiona kwenye jamii yetu ya wabongo na kiafrika kwa ujumla.
Yes, hivi mtu anapokutahadharisha kwamba uishi na nyoka au na simba kwa makini anamaanisha kwamba wewe ni mjanja kuliko nyoka au simba? Au ndo kusema hamjaelewa kwamba hapo ni kama mmetahadharishwa muishi na sisi kwa makini?
Ndo maana nikakwambia hauwezi kunielewa hadi nikutolee ufafanuzi wa kina ambao nao naona kama vile bado hautauamini kwahiyo wacha nikuache hivyo hivyoBut that has nothing to do with your conclusion that, “Wanawake tumewazidi akili Wanaume.”