Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

hakika hata wewe hujanielewa..

swali lako linasema "hivi wanaume mnamaanisha nini mnaposema tunataka usawa"?

na mimi nimeelezea jinsi gani msivyo uelewa hata huo usawa wenyewe mnaoutaka na badala yake mnahitaji FAVOR au EQUITY...

BTW, kwa hiyo wewe unataka usaidiwe kuosha vyombo na kupika?

je, utaweza kukabiliana na majambazi saba yenye silaha usiku wa manane wakati huo mimi nimejificha chini ya meza?
Hahahaha naona wengi mnakazania kutoa huo mfano wa kuvamiwa na majambazi utadhani hayo majambazi ni sehemu ya maisha yaani kwamba yanavamiaga nyumba yenu kila siku mkuu tuongelee yale majukumu ambayo ni sehemu ya maisha yenu yaani yanafanywa kila siku

Mkianza kutolea mifano ya majambazi ni sawa na sisi tuanze kutolea mifano ya wanawake kubeba mimba na kuzaa watoto kitu ambacho hakihusiani na hatuna haja ya kufika huko hapa tunaongelea majukumu ambayo mtu yeyote anaweza kuyafanya na siyo majukumu yanayotokana na maumbile
 
please put more elaboration on this, more responsibilities in which sense actually?
Iko hivi wanaume mnatafuta pesa na mnahudumia familia tu hamfanyi kazi za ndani wala hamlei familia lakini wanawake tunatafuta pesa tunahudumia familia tunafanya kazi za ndani na tunalea familia hapo nani anafanya majukumu mengi kuliko mwenzake?
 
so women are smarter than men ...right?
Yes, hivi mtu anapokutahadharisha kwamba uishi na nyoka au na simba kwa makini anamaanisha kwamba wewe ni mjanja kuliko nyoka au simba? Au ndo kusema hamjaelewa kwamba hapo ni kama mmetahadharishwa muishi na sisi kwa makini?
 
Show me your source for this conclusion.
hahahaha... Braza BAK huyu dada kanifurahisha sana na hiyo comment yake.

kuwa wanawake wanaakili nyingi kuliko wanaume. wakati huo mpaka leo hii hakuna discovery yoyote iliyofanywa na mwanamke kwa faida za mwanaume, ila yeye hata hiyo bra aliyoivaa mgunduzi wake ni mwanaume.
 
Okay but IMO that is not a very good source to come up with such a conclusion. I am not sure which society you’re talking about.
Nazungumzia hii hii jamii ambayo mwanamke akitendwa inaonekana kawaida ila mwanaume akitendwa inaonekana kaonewa ningekupa mifano mingi nikakuelezea kwa kina sana

Lakini ninachohofia ni kupoteza muda wangu kuandika halafu bado usiniamini maana wanaume hamjawahi kukubali kushindwa na wanawake hata kwenye mambo ambayo inaonekana wazi kabisa kuwa wanawake ndo wako sahihi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahaha... Braza BAK huyu dada kanifurahisha sana na hiyo comment yake.

kuwa wanawake wanaakili nyingi kuliko wanaume. wakati huo mpaka leo hii hakuna discovery yoyote iliyofanywa na mwanamke kwa faida za mwanaume, ila yeye hata hiyo bra aliyoivaa mgunduzi wake ni mwanaume.
Mkuu kwako wewe akili ni za darasani na za kiugunduzi tu? Kama ndivyo unavyoamini pole
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yes, hivi mtu anapokutahadharisha kwamba uishi na nyoka au na simba kwa makini anamaanisha kwamba wewe ni mjanja kuliko nyoka au simba? Au ndo kusema hamjaelewa kwamba hapo ni kama mmetahadharishwa muishi na sisi kwa makini?

huu huu mfano wako tu, unaonyesha nwanamke ni dhaifu kiakili. kwa maana hapo mwanamke ni nyoka
 
Nilijua tu kuwa ungekazia kwenye huo mfano nilioutoa kuliko ujumbe wenyewe na ndo maana nikaongezea na mfano wa simba ila huo ni kama haujauona vile haya nipe vigezo ulivyotumia kusema kuwa wanawake ni nyoka mimi kwangu nimetumia kama mfano ila kwako umetumia kama kutuelezea wanawake tulivyo basi ndo unielezee sababu kwanini umesema hivyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Iko hivi wanaume mnatafuta pesa na mnahudumia familia tu hamfanyi kazi za ndani wala hamlei familia lakini wanawake tunatafuta pesa tunahudumia familia tunafanya kazi za ndani na tunalea familia hapo nani anafanya majukumu mengi kuliko mwenzake?
Aisee hivi hii jamii unayoiongelea ndio hii nnayoishi mimi au tunaishi kwenye jamii tofauti?

maana hiki unachokiandika hapa nj very unrealistic na nnachokiona kwenye jamii yetu ya wabongo na kiafrika kwa ujumla.
 
But that has nothing to do with your conclusion that, “Wanawake tumewazidi akili Wanaume.”

Nazungumzia hii hii jamii ambayo mwanamke akitendwa inaonekana kawaida ila mwanaume akitendwa inaonekana kaonewa ningekupa mifano mingi nikakuelezea kwa kina sana

Lakini ninachohofia ni kupoteza muda wangu kuandika halafu bado usiniamini maana wanaume hamjawahi kukubali kushindwa na wanawake hata kwenye mambo ambayo inaonekana wazi kabisa kuwa wanawake ndo wako sahihi
 
Mkuu kwako wewe akili ni za darasani na za kiugunduzi tu? Kama ndivyo unavyoamini pole
Nielimishe sasa sio unipe pole.

maana hizo akili nnazozilenga Mimi ndio zinaendesha Maisha yetu kwa kiasi kikubwa
 
Aisee hivi hii jamii unayoiongelea ndio hii nnayoishi mimi au tunaishi kwenye jamii tofauti?

maana hiki unachokiandika hapa nj very unrealistic na nnachokiona kwenye jamii yetu ya wabongo na kiafrika kwa ujumla.
Mnajifanya hamzioni ndoa ambazo wanawake wanatafuta pesa na wanawasaidia waume zao kuhudumia familia? Kitu usipokiona au kukisikia wewe basi haimaanishi kwamba hakipo au hakijawahi kutokea haya mambo yapo na tunayashuhudia kwenye ndoa nyingi

Na kuna ndoa nyingine mwanaume hatimizi kabisa majukumu yake yaani yote kamuachia mke kwahiyo mwanaume hafanyi chochote nyumbani ila mwanamke anafanya majukumu yote ya mumewe na ya kwake sasa nikiuliza ni wanaume wangapi wanaweza kufanya majukumu yao na ya wake zao huku wake zao wamerelax tu sidhani kama yupo hata mmoja
 
😳😳😳

Yes, hivi mtu anapokutahadharisha kwamba uishi na nyoka au na simba kwa makini anamaanisha kwamba wewe ni mjanja kuliko nyoka au simba? Au ndo kusema hamjaelewa kwamba hapo ni kama mmetahadharishwa muishi na sisi kwa makini?
 
But that has nothing to do with your conclusion that, “Wanawake tumewazidi akili Wanaume.”
Ndo maana nikakwambia hauwezi kunielewa hadi nikutolee ufafanuzi wa kina ambao nao naona kama vile bado hautauamini kwahiyo wacha nikuache hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom