Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Katika maisha Ya mwanadamu hitaji moja wapo kubwa na la muhimu ni ulinzi.Hahahaha naona wengi mnakazania kutoa huo mfano wa kuvamiwa na majambazi utadhani hayo majambazi ni sehemu ya maisha yaani kwamba yanavamiaga nyumba yenu kila siku mkuu tuongelee yale majukumu ambayo ni sehemu ya maisha yenu yaani yanafanywa kila siku
Mkianza kutolea mifano ya majambazi ni sawa na sisi tuanze kutolea mifano ya wanawake kubeba mimba na kuzaa watoto kitu ambacho hakihusiani na hatuna haja ya kufika huko hapa tunaongelea majukumu ambayo mtu yeyote anaweza kuyafanya na siyo majukumu yanayotokana na maumbile
hatuweza tukaacha kutoa mfano wa majambazi wakati ndio yanayotutushia uhai wetu...
nakuuliza tena, mimi niko tayari kuosha vyombo,kupika,kupiga deki n.k
sasa je, wewe uko tayari kupambana na hata vibaka waliokuja kutuvamia huku mimi nimejificha chini ya uvungu na watoto?
maana ndio mnachokitaka hasa kuwa sawa na mwanaume kwenye kila kitu.