Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Edelyn tangu mwanzo wa thread hii unataja pesa tu...pesa tu...pesa... pesa...kha.

unaamini sana katika pesa kuwa ndio mkombozi wa kila kitu ehee? including gender unfairness sio?

Nakupa pole sana wewe na wanawake wenzako wengi wenye mtazamo kama wako.

Pesa wanawake wengi mnaitumia kuficha insecurity mlionayo dhidi ya wanaume tu lakini bado mtabaki kuwa inferior gender.
 
My dear let me put it blatantly.

Men control everything in this world while women merely control men emotionally.

listen the song "we run the world" by rihana.
Sasa hebu fikiria mwanaume anacontrol kila kitu duniani lakini mwanamke anamcontrol mwanaume ambaye anacontrol kila kitu duniani? Sijui umenielewa vizuri hapo?
 
Nadhani haujanielewa na kama umenielewa basi haujajibu swali langu nimeuliza mnaposema tunataka usawa huwa mnamaanisha tunataka usawa kwenye mambo yepi?
Usawa mnaotaka kwa mawazo yangu ni kwamba tufanane kwa kila kitu hata kwenye utendaji,,,(mnataka ikiwezekana mtupande kama tunavyowapanda)[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji121] [emoji121]
 
Kwenye BIBLIA majukumu yaliyotolewa na MUNGU yalisema;
"Mwanaume umpende mwanamke"
"Mwanamke umuheshimu Mwanaume"
Hapo kuna maagizo mawili tofauti.
 
Hivi wanawake tumepigania mambo mangapi? Mbona hilo tu ndo jambo pekee ambalo wanaume mmelikubali ila mengine mnapinga hadi kesho ila hilo tu la sisi kuingilia majukumu yenu ndo mmeacha lipite mngepinga na mngekataa yote kupita basi kama kweli hamtaki usawa
Hivi ukimnyang'anya mwanaume jukumu la kuhudumia familia yake unadhani anakuwa kabakiwa na Nini?Kuna mwanaume anapata dharau kumshinda mwanaume asijejua kuhudumia familia yake?Au niligeuze basi hivi ukinyang'anya mwanamke uwezo wa kushika mimba na kuwa mzazi...Niambie mwanamke atajivunia na Nini Tena??? Unajua kwanini jamii inawachukulia ndivyo sivyo wanawake wagumba???? Sababu tumbo linaloshika mimba Lina thamani.Siku hizi mnalalamika wanaume tumekuwa madume suruali sababu ila nguvu ya kuonyesha uwanaume wetu ile nguvu ya kusimamia kama Mwanaume kwa kuhudumia familia Ni Kama tumeporwa na movements zenu hizo.

Ever since, mwanaume alipimwa kwa uwezo wa kuhudumia familia na mwanamke kwa uwezo wa kuleta watoto na kuwalea vzr...
 
Wanawake ndio viumbe pekee duniani ambao ufanya mambo yao kinyume na mungu, mungu amewaumba wawe chini ya wanaume wao wanataka kuwa juu ya wanaume kimbembe kwenye pesa sasa wote wanafanya kazi mwisho wa mwezi utasikia baba fulani naomba ela ya matumizi nyambafu kabisaaa
 
Edelyn tangu mwanzo wa thread hii unataja pesa tu...pesa tu...pesa... pesa...kha.

unaamini sana katika pesa kuwa ndio mkombozi wa kila kitu ehee? including gender unfairness sio?

Nakupa pole sana wewe na wanawake wenzako wengi wenye mtazamo kama wako.

Pesa wanawake wengi mnaitumia kuficha insecurity mlionayo dhidi ya wanaume tu lakini bado mtabaki kuwa inferior gender.
Ndiyo hakuna kitu kinauma kama mwanamke anasaidia majukumu ya mwanaume wakati mwanaume hasaidii majukumu ya mwanamke halafu mwanamke anasikia mwanaume anachepuka na wanawake wengine kwa kisingizio cha kuwa mkewe kajisahau sana kwenye ndoa na hamridhishi tena kama kwenye uchumba

Sasa kwa akili ya kawaida tu hebu fikiria mwanaume na mwanamke wanaamka alfajiri wote wanaenda kazini ila mwanamke ndo asafishe nyumba akitoka hapo ajiandae yeye akamuandae na mumewe ndo waende kazini wakati huo mume amekaa tu haya kurudi wanarudi wote usiku ila mwanamke akirudi aingie jikoni apike ale yeye amlishe na mumewe wakati huo mume amekaa tu wakimaliza hapo waingie chumbani wote washughulike kitandani mwanamke asikae kama gogo

Haya weekend mume unakuta mume yupo nyumbani ila mke ndo atapika, atafua, ataosha vyombo na atasafisha nyumba wakati huo mume amekaa tu sebuleni lakini mume akilipa kodi mke atanunua mahitaji ya nyumbani mume akilipa bili ya umeme mke atalipa bili ya maji na mume anakuwa hamhudumii tena mkewe kwa sababu mke naye anatafuta pesa zake wakati huku mke anamlea mume na ukizingatia huyo mume siyo kilema

Halafu ikitokea mwanamke akapunguza ufanisi katika hayo majukumu huyo huyo mwanaume anachepuka na mwanamke ambaye hampikii kila siku na wala hamfulii na bado huyo mwanaume anauhonga huo mchepuko na afanya yote hayo eti ili kumkomoa mke wake ajirekebishe sasa naomba nikuulize wewe wanaume mnaweza kufanya hayo niliyoyataja hapo ambayo anayafanya mwanamke?
 
Usawa mnaotaka kwa mawazo yangu ni kwamba tufanane kwa kila kitu hata kwenye utendaji,,,(mnataka ikiwezekana mtupande kama tunavyowapanda)[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji121] [emoji121]
Oohh basi sawa
 
Kwenye BIBLIA majukumu yaliyotolewa na MUNGU yalisema;
"Mwanaume umpende mwanamke"
"Mwanamke umuheshimu Mwanaume"
Hapo kuna maagizo mawili tofauti.
Je wanaume wa siku hizi wanawapenda wake zao?
 
Hivi ukimnyang'anya mwanaume jukumu la kuhudumia familia yake unadhani anakuwa kabakiwa na Nini?Kuna mwanaume anapata dharau kumshinda mwanaume asijejua kuhudumia familia yake?Au niligeuze basi hivi ukinyang'anya mwanamke uwezo wa kushika mimba na kuwa mzazi...Niambie mwanamke atajivunia na Nini Tena??? Unajua kwanini jamii inawachukulia ndivyo sivyo wanawake wagumba???? Sababu tumbo linaloshika mimba Lina thamani.Siku hizi mnalalamika wanaume tumekuwa madume suruali sababu ila nguvu ya kuonyesha uwanaume wetu ile nguvu ya kusimamia kama Mwanaume kwa kuhudumia familia Ni Kama tumeporwa na movements zenu hizo.

Ever since, mwanaume alipimwa kwa uwezo wa kuhudumia familia na mwanamke kwa uwezo wa kuleta watoto na kuwalea vzr...
Sasa mbona hilo jukumu mmekubali kuliachia kirahisi ila mambo mengine mmekataa kuyaachia kirahisi?
 
Wanawake ndio viumbe pekee duniani ambao ufanya mambo yao kinyume na mungu, mungu amewaumba wawe chini ya wanaume wao wanataka kuwa juu ya wanaume kimbembe kwenye pesa sasa wote wanafanya kazi mwisho wa mwezi utasikia baba fulani naomba ela ya matumizi nyambafu kabisaaa
Hivi haujui kwamba jukumu la kumhudumia mwanamke ni la mwanaume? Hivi unadhani wanaume mliambiwa mtutawale hivi hivi tu wakati hamjatuumba wala hamjatuzaa? Mliambiwa mtutawale kwa masharti ya kwamba mtuhudumie ndo maana mwanaume uliambiwa utakula kwa jasho lako lakini mwanamke hakuambiwa hivyo

Halafu kuna ubaya gani mwanamke wako kukuomba pesa zako hata kama yeye anatafuta zake mbona chakula anapika peke yake na mnakula wote, mbona kufua anafua nguo za zake na zako, mbona kuosha vyombo anaosha vyombo ambavyo mnatumia wote na mbona nyumba anasafisha na mnaishi wote? Kwani wewe hizo kazi hauziwezi? Unaziweza sana ila je unamsaidiaga?
 
Sasa hebu fikiria mwanaume anacontrol kila kitu duniani lakini mwanamke anamcontrol mwanaume ambaye anacontrol kila kitu duniani? Sijui umenielewa vizuri hapo?
Yeah.. wanawake wana wacontrol wanaume kwa namna ambayo sio ya moja kwa moja na njia inayotumika kwenye hili ni manipulation.

Hata hizi women empowerment movements kwa kiasi kikubwa wanaozipa nguvu ni wanaume, wanaume ndio wanaotengeneza na kusimamia mashirika mbali mbali ya kusimamia haki za wanawake huku wanawake wakiwa ni sehemu ndogo ya utekelezaji.

Wanawake ndio wamekuwa wakitengeneza idadi kubwa ya wapiga kula duniani kote, impact yao kisiasa ni kubwa sana na sasa basi wanaume wanafanya mambo mengi ya kuwafurahisha wanawake hili waweze kunufaika nao kisiasa. na ndio maana unaona vyama vingi vya mlengo wa kushoto vinasapoti mambo kama abortion

Sheria nyingi leo hii zinatungwa ziki mfavor sana mwanamke kuliko mwanaume na wanaozitunga ni hao hao wanaume.

Wanawake ndio watumiaji wa bidhaa nyingi duniani kuliko wanawake na ndio maana hata kwenye matangazo mengi ya biashara tunaona sura za wanawake. lakini watengenezaji wa bidhaa hizo ni wanaume ambao wanaangalia mahitaji ya wanawake ni yapi.

you actually control men through manipulation.
 
Ndiyo hakuna kitu kinauma kama mwanamke anasaidia majukumu ya mwanaume wakati mwanaume hasaidii majukumu ya mwanamke halafu mwanamke anasikia mwanaume anachepuka na wanawake wengine kwa kisingizio cha kuwa mkewe kajisahau sana kwenye ndoa na hamridhishi tena kama kwenye uchumba

Sasa kwa akili ya kawaida tu hebu fikiria mwanaume na mwanamke wanaamka alfajiri wote wanaenda kazini ila mwanamke ndo asafishe nyumba akitoka hapo ajiandae yeye akamuandae na mumewe ndo waende kazini wakati huo mume amekaa tu haya kurudi wanarudi wote usiku ila mwanamke akirudi aingie jikoni apike ale yeye amlishe na mumewe wakati huo mume amekaa tu wakimaliza hapo waingie chumbani wote washughulike kitandani mwanamke asikae kama gogo

Haya weekend mume unakuta mume yupo nyumbani ila mke ndo atapika, atafua, ataosha vyombo na atasafisha nyumba wakati huo mume amekaa tu sebuleni lakini mume akilipa kodi mke atanunua mahitaji ya nyumbani mume akilipa bili ya umeme mke atalipa bili ya maji na mume anakuwa hamhudumii tena mkewe kwa sababu mke naye anatafuta pesa zake wakati huku mke anamlea mume na ukizingatia huyo mume siyo kilema

Halafu ikitokea mwanamke akapunguza ufanisi katika hayo majukumu huyo huyo mwanaume anachepuka na mwanamke ambaye hampikii kila siku na wala hamfulii na bado huyo mwanaume anauhonga huo mchepuko na afanya yote hayo eti ili kumkomoa mke wake ajirekebishe sasa naomba nikuulize wewe wanaume mnaweza kufanya hayo niliyoyataja hapo ambayo anayafanya mwanamke?
unajua kuna muda mtu anaweza aka argue na wewe halafu akajikuta anaandika kitu kile kile tu hata Mara arobaini bila yeye kujua.

Bandiko kama hili tayari umeshaliandika na nimekujibu, sasa sijui nikujibu tena kwa lugha ya kihindi au kiyanuni ndio tutaelewana.
 
Sijakataa maoni yako lakini mnaposema haki sawa yaani 50 kwa 50 mnakuwa mnamaanisha nini hali ya kuwa mnataka baba atekeleze mahitaji ya ndani yote basi muondoe iyo dhana ya kusema wote sawa
Hivi haujui kwamba jukumu la kumhudumia mwanamke ni la mwanaume? Hivi unadhani wanaume mliambiwa mtutawale hivi hivi tu wakati hamjatuumba wala hamjatuzaa? Mliambiwa mtutawale kwa masharti ya kwamba mtuhudumie ndo maana mwanaume uliambiwa utakula kwa jasho lako lakini mwanamke hakuambiwa hivyo

Halafu kuna ubaya gani mwanamke wako kukuomba pesa zako hata kama yeye anatafuta zake mbona chakula anapika peke yake na mnakula wote, mbona kufua anafua nguo za zake na zako, mbona kuosha vyombo anaosha vyombo ambavyo mnatumia wote na mbona nyumba anasafisha na mnaishi wote? Kwani wewe hizo kazi hauziwezi? Unaziweza sana ila je unamsaidiaga?
 
Ndiyo hakuna kitu kinauma kama mwanamke anasaidia majukumu ya mwanaume wakati mwanaume hasaidii majukumu ya mwanamke halafu mwanamke anasikia mwanaume anachepuka na wanawake wengine kwa kisingizio cha kuwa mkewe kajisahau sana kwenye ndoa na hamridhishi tena kama kwenye uchumba

Sasa kwa akili ya kawaida tu hebu fikiria mwanaume na mwanamke wanaamka alfajiri wote wanaenda kazini ila mwanamke ndo asafishe nyumba akitoka hapo ajiandae yeye akamuandae na mumewe ndo waende kazini wakati huo mume amekaa tu haya kurudi wanarudi wote usiku ila mwanamke akirudi aingie jikoni apike ale yeye amlishe na mumewe wakati huo mume amekaa tu wakimaliza hapo waingie chumbani wote washughulike kitandani mwanamke asikae kama gogo

Haya weekend mume unakuta mume yupo nyumbani ila mke ndo atapika, atafua, ataosha vyombo na atasafisha nyumba wakati huo mume amekaa tu sebuleni lakini mume akilipa kodi mke atanunua mahitaji ya nyumbani mume akilipa bili ya umeme mke atalipa bili ya maji na mume anakuwa hamhudumii tena mkewe kwa sababu mke naye anatafuta pesa zake wakati huku mke anamlea mume na ukizingatia huyo mume siyo kilema

Halafu ikitokea mwanamke akapunguza ufanisi katika hayo majukumu huyo huyo mwanaume anachepuka na mwanamke ambaye hampikii kila siku na wala hamfulii na bado huyo mwanaume anauhonga huo mchepuko na afanya yote hayo eti ili kumkomoa mke wake ajirekebishe sasa naomba nikuulize wewe wanaume mnaweza kufanya hayo niliyoyataja hapo ambayo anayafanya mwanamke?
kwa hiyo mwanamke akiwa golikipa then mwanaume achepuke hapo ndo sawa
 
Yeah.. wanawake wana wacontrol wanaume kwa namna ambayo sio ya moja kwa moja na njia inayotumika kwenye hili ni manipulation.

Hata hizi women empowerment movements kwa kiasi kikubwa wanaozipa nguvu ni wanaume, wanaume ndio wanaotengeneza na kusimamia mashirika mbali mbali ya kusimamia haki za wanawake huku wanawake wakiwa ni sehemu ndogo ya utekelezaji.

Wanawake ndio wamekuwa wakitengeneza idadi kubwa ya wapiga kula duniani kote, impact yao kisiasa ni kubwa sana na sasa basi wanaume wanafanya mambo mengi ya kuwafurahisha wanawake hili waweze kunufaika nao kisiasa. na ndio maana unaona vyama vingi vya mlengo wa kushoto vinasapoti mambo kama abortion

Sheria nyingi leo hii zinatungwa ziki mfavor sana mwanamke kuliko mwanaume na wanaozitunga ni hao hao wanaume.

Wanawake ndio watumiaji wa bidhaa nyingi duniani kuliko wanawake na ndio maana hata kwenye matangazo mengi ya biashara tunaona sura za wanawake. lakini watengenezaji wa bidhaa hizo ni wanaume ambao wanaangalia mahitaji ya wanawake ni yapi.

you actually control men through manipulation.
Thank you
 
unajua kuna muda mtu anaweza aka argue na wewe halafu akajikuta anaandika kitu kile kile tu hata Mara arobaini bila yeye kujua.

Bandiko kama hili tayari umeshaliandika na nimekujibu, sasa sijui nikujibu tena kwa lugha ya kihindi au kiyanuni ndio tutaelewana.
Umenijibuje hebu jibu tena pengine sikukuelewa mwanzo
 
Back
Top Bottom