Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Sijakataa maoni yako lakini mnaposema haki sawa yaani 50 kwa 50 mnakuwa mnamaanisha nini hali ya kuwa mnataka baba atekeleze mahitaji ya ndani yote basi muondoe iyo dhana ya kusema wote sawa
Tunataka mtekeleze majukumu yenu kwa sababu hata sisi tunatekeleza majukumu yetu na hamtaki kutusaidia kwahiyo hii 50/50 tuseme tu kwamba imefanikiwa sana kwa wazungu na siyo kwetu

Maana kwa wazungu kutafuta pesa ni jukumu la wote na kufanya kazi za ndani ni jukumu la wote ila kwa wabongo kutafuta pesa ni jukumu la wote ila kufanya kazi za ndani ni jukumu la mwanamke tu sasa hapo unategemea nini?
 
kwa hiyo mwanamke akiwa golikipa then mwanaume achepuke hapo ndo sawa
Hapana, hakuna sababu ya kumfanya mwanaume achepuke ila kwa sababu hamtaki kufuata maandiko na mmeshajihalalishia kuchepuka basi ndo muangalie na mazingira
 
Mtasubiri sana wake zetu kwa bongo bado tutaendelea na mfumo dume mpaka yesu arudi
Tunataka mtekeleze majukumu yenu kwa sababu hata sisi tunatekeleza majukumu yetu na hamtaki kutusaidia kwahiyo hii 50/50 tuseme tu kwamba imefanikiwa sana kwa wazungu na siyo kwetu

Maana kwa wazungu kutafuta pesa ni jukumu la wote na kufanya kazi za ndani ni jukumu la wote ila kwa wabongo kutafuta pesa ni jukumu la wote ila kufanya kazi za ndani ni jukumu la mwanamke tu sasa hapo unategemea nini?
 
Hapana, hakuna sababu ya kumfanya mwanaume achepuke ila kwa sababu hamtaki kufuata maandiko na mmeshajihalalishia kuchepuka basi ndo muangalie na mazingira
aisee... hujui chochote kuhusu maandiko,i will prove you wrong
 
Mtasubiri sana wake zetu kwa bongo bado tutaendelea na mfumo dume mpaka yesu arudi
Basi ndo mhudumie wake zenu na muache kulalamika kuwa wanawake wanapenda pesa wakati ni jukumu lenu kuwapa pesa
 
Nazunguka wapi? Nimekuuliza kipi kinakufanya useme sisi wanaume ndivyo tunavyotaka? Nijibu kwanza hili swali halafu nitatoa maoni yangu.
Jibu basi wewe maoni yako acha kuzunguka
 
Hili dude lina misongo ya kufikisha muda mrefu bila olewa
 
Hesabu ya ndoa ni 1+1 = 1. Ikiwa tofauti na hilo jibu ndo yanaanza hayo uliyouliza
 
Nitasema kwa uzoefu na yale niliyoyashuhudia. Mke wangu ni mwanaharakati wa haki za wanawake ambapo kwenye issue zake nyingi za uanaharakati huwa namsaidia kuweka sawa. Niliwahi kumwambia hivi “Vita yenu ya haki sawa haitafanikiwa kamwe mpaka pale mtakapojua adui wa kweli kwenye hiyo vita yenu ni nani” mwanzoni tulibishana kidogo kwasababu hakuelewa nilimaanisha nini lakini Siku hizi anaelewa na amekubaliana kauli yangu. Kiuhalisia adui wa haki za wanawake ni wanawake wenyewe na kamwe sio wanaume.

Ntatoa mifano kadhaa, Leo hii utakuta mwanaume ametelekeza familia yake kwasababu ya mwanamke mwingine ambaye anajua kabisa kwamba kuwa kwake na mwanaume huyo kunamuumiza mwanamke mwenzake ambaye ndiye mwenye haki ya kuwa na mwanaume huyo. Leo hii wanawake wenyewe wanasifiana kuwaumiza wanawake wenzao kwa kutoka na wanaume wao tena bila huruma.

Mfano mwingine ni uhalisia wa mazingira. Wanawake wengi wamekuwa wanadanganyana kuhusu haki sawa inayopelekea ndoa nyingi kuvunjika na kuzalisha “single mothers wengi” tabu ni pale hao wanawake tena wanapoishi kwa fadhila za wanaume wengine (Hii inafanya wanaume hao kuwadharau wanawake hao na kamwe huwezi kudai haki sawa kwenye situation hii)

Kumekuwa na malalamiko mengi sana ya wanawake Siku hizi kuwa wanawake ndio wamekuwa bread winners na sio wanaume. Yes hizi ndio effects za haki sawa, kama ambavyo wanaume wamekuwa hawalalamiki kuwa bread winners huko nyuma wanawake pia waache kulalamika sasa kuwa wamekuwa bread winners.

Kuna suala la kibaiolojia, kuzaa ni suala la kibaiolojia la wanawake na Hali a substitute, hilo halifanyi mmoja kuwa superior ya mwingine kwenye suala la uzazi. In fact attachment ya mtoto haiko kwenye kubeba mimba na kuzaa Bali hutengenezwa baada ya hapo na ndio maana nyumba nyingi Siku hizi watoto wako attached zaidi kwa wasichana wa kazi kuliko wazazi wao. So kama baba pia anataka kuwa attached na mtoto wake anaweza kutengeneza hiyo attachment. Kama watu wanakutana ukubwani na kuwa wapenzi na kuwa na hiyo bond kiasi cha kutengeneza instincts pale mwingine anapopata tabu hata akiwa mbali itakuwa kwa mwanao mwenyewe? Mimi I am too close to my son kuliko mama yake, nikiwepo mimi hamtaki kabisa mama yake.

Mwisho wa Siku ni kwamba mazingira yamebadilika ambayo yanalazimisha pia mfumo wa maisha ubadilike. Lakini bado tuendelee kuthamini tofauti zetu za kibaiolojia ambazo zinafanya jinsia moja kufanya vizuri kwenye sehemu Fulani kuliko nyingine. Wale wanaoamini katika dini (Ukristo na uislam) wanajua maandiko yanavyosema juu ya namna ya kuishi kwa wanawake na wanaume. Wasioamini katika dini na wanaamini katika tamaduni, Mila na desturi pia wanajua zinasemaje juu ya hili.

Wengi wetu tumerithi issue ya haki sawa kutoka nchi za magharibi lakini angalieni namna gani wao wanapractice hili tofauti kabisa na matangopori wanayotulisha huku. Wao wote wanafanya kazi na wanaweka pesa mezani na kupanga matumizi ya pesa yao, bado mama ndio mwenye jukumu ya kuhandle issue za watoto hii hata wao haina mbadala na kwao hawaamini sana kwenye house maids maybe babysitters pale wanapokuwa na shughuli zinazowaweka wote nje kwa muda masaa mengi. So wanathaminj hizo tofauti za kibaolojia.

Mwisho nakumbuka maneno ambayo Makamu wa rais aliwahi kusema “Mimi ni makamu wa rais nikiwa ofisini, nikiwa nyumbani mimi ni mke na ninampikia mume wangu, ninamnawisha na ninampigia magoti”
 
Nazunguka wapi? Nimekuuliza kipi kinakufanya useme sisi wanaume ndivyo tunavyotaka? Nijibu kwanza hili swali halafu nitatoa maoni yangu.
Kwa sababu umesema kule juu kuwa nimejiuliza na nimejijibu mwemyewe kwenye hilo swali? Kwa maana kwamba hilo swali ndo jibu ulilomaanisha si ndiyo? Na kama siyo jibu basi sema jibu ni lipi.
 
Ndiyo mliambiwa mtutawale ila pia mliambiwa mtakula kwa jasho lenu sasa siku hizi kuna wanaume hawali kwa majasho yao wanakula kwa majasho ya wake zao halafu bado wanataka kuwatawala wake zao kwahiyo mnachagua maandiko ya kuyafuata (yanayowafaidisha) na maandiko ya kuyaacha (yanayowabana) si ndiyo?
Hapa tafadhari sana usichanganye!

Habari ya kula kwa jasho kwa mwanaume ilikua ni adhabu iliyotokana na usaliti wa mwanamke ( you brought trouble to us)

It has nothing to do with kutawala au kua msaidizi.

Originally mwanaume aliumbwa atawale vyote vya duniani ( hata kabla hajaamriwa kula kwa jasho).

CONCLUSION, Mwanaume naturally ni superior kwa mwanamke & mwanamke ni msaidizi wake wa karibu sana, hata kabla kila mmoja hajaanza kutumikia adhabu yake ambayo pia ilitokana nausaliti wa mwanamke.

ADDITION, wanawake mstunyoshee tu vidole, ila mtfakari pia juu ya kwamba haya mambo ya mwanaume kula kwa jasho, mlsababsha nyie. God created us to be HEROS!
 
Kwa sababu umesema kule juu kuwa nimejiuliza na nimejijibu mwemyewe kwenye hilo swali? Kwa maana kwamba hilo swali ndo jibu ulilomaanisha si ndiyo? Na kama siyo jibu basi sema jibu ni lipi.
Swali la nyongeza: Je, mnataka wanawake tusifanye makosa ila wanaume mfanye makosa halafu wanawake tukae kimya tusiwaambie na wala tusiwafanye chochote au mnatakaje?

Usichanganye mambo tafadhali.msingi wa swali langu uko hapa. Ni nani aliyekwambia maneno haya hapo juu?
 
Back
Top Bottom