Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Umeelezea mengi ila je ni wanaume wangapi wanaokuwa na shukurani na wanaolipa fadhila kwa wake zao wanaofanya hivyo? Zaidi wanaume wengi shukurani yao na malipo yao ni kusaliti wake zao na kuzaa watoto nje ya ndoa kitu ambacho hata kwenye maandiko kimekatazwa

Halafu naomba nikurekebishe hapo kwa wazungu hivi unajua kuwa kwa wazungu hata kufanya kazi za nyumbani na kulea watoto linachukuliwa kama ni jukumu la wote mwanaume na mwanamke kama ambavyo kutafuta pesa na kuhudumia watoto linachukuliwa kuwa ni jukumu la wote?

Yaani kwa wazungu siyo ajabu baba kuamka asubuhi kuwaandalia chai familia yake na kuwakaribisha mezani huku mkewe amelala na wala haumwi pia kwa wazungu siyo ajabu baba kumbadilisha mwanaye pampers wakati mkewe yupo na hana kazi yoyote sasa jiulize wanaume wa kibongo mnaweza kufanya hayo?

Hamuwezi na kwa sababu hamuwezi na bado mnachukulia kwamba ni majukumu ya wanawake ndo maana hata sisi bado tunachukulia kwamba kutafuta pesa na kuhudumia familia ni majukumu ya wanaume na tukifanya tunafanya kwa kusaidia tu hivyo hapa msitulaumu bali ni kutokana na mgawanyo wa majukumu na kutokana na wanaume kukataa kuyabeba majukumu yetu kama ya kwenu ilihali mnataka sisi tuyabebe majukumu yenu kama ya kwetu

Sio vizuri sana kuchukua mifano ya wazungu lakini my dear sister wala usiende kuishi na wazungu Leo chukua 10 movies za wazungu angalia namna wanavyoishi kuna division of responsibilities kwenye malezi kwa mfano kupika mostly atapika mwanamke, atahakikisha asubuhi breakfast is served then baba atapeleka watoto shule, kama wana gari moja atampitisha mkewe kazini kwake na yeye ataenda kwake.

Ukisoma maelezo yangu vizuri kuna sehemu nimesema bond Kati ya mzazi na mtoto haiko kwenye miezi 9 ya ujauzito wala 24 hours za labor ila baada ya hapo. Nikatoa mfano kwamba kwangu mimi mtoto wangu yuko attached zaidi na mimi kuliko mama yake na kama nikiwepo mimi hata mama yake akitaka kumchukua anakataa. You know why kwasababu hizo kumbadilisha diapers ninafanya nitamuogesha kumvalisha tutacheza pamoja. Nikiwa naye attention yote inakuwa kwake na simu naweka pembeni unlike his mother ambaye akiwa naye 75% ya attention iko kwenye simu na 25% tu kwa mtoto. So kufanya hiki ama kile sio written rule ni personal discipline.

Kwa statement yako ya mwisho then we shouldn’t have this discussion at all, tuache tuendelee kuishi kama zamani mwanaume kama mwanaume na mwanamke kama mwanamke tuachane na habari za equality na equity
 
Imeandikwa wapi?

Tamko pa mwanaume halisubiri maandiko. Mwanaume huamua atakavyo sio mtu fulani aliyeandika anatakaje.

Hata hivyo kuendelea kujadiliana na wewe bado nikujivua nguo
 
Sawa mkuu
 
Tamko pa mwanaume halisubiri maandiko. Mwanaume huamua atakavyo sio mtu fulani aliyeandika anatakaje.

Hata hivyo kuendelea kujadiliana na wewe bado nikujivua nguo
Ila wanawake wakijiamulia wanayotaka ndo mnajifanya kukumbuka maandiko? Kama hauamini katika maandiko basi pia hauamini katika mwanaume kumtawala mwanamke na kama unaamini katika tamaduni basi kuna watu hawaamini katika tamaduni ambazo nazo zilianzishwa na watu kama sisi

Hivyo basi kila mtu anajiamulia nini cha kufanya juu ya mwili wake na maisha yake haijalishi ni mwanaume au mwanamke na kwa kawaida ukiwa hauna hoja ni lazima tu uone kama umejivua nguo maana unakuwa unapata aibu kujua kuwa hauna tena mambo ya maana ya kusema
 
Unajiamulia mambo yako ukiwa kwa Baba yako huko. Lakini ukishaingia kwenye nyumba yangu wewe ni mwanamke tuu. Huna utakaloamua likafanyika kama mimi sijaamua.

Mwenye nguvu ndiye mtawala. Kama utakuwa na nguvu kunishinda utajiamulia. Iwe ni nguvu ya kiuchumi, kimwili au kiakili. Lakini kama huna utakalia kusoma maandiko ya haki za binadamu na vifungu vya kidini.

Mwenye nguvu ndiye atamtawala dhaifu. Mwenye nguvu ndiye atamuamulia aliye dhaifu cha kufanya.

Hayo mengine siyajui.
 
Kama wewe ndo umemzidi kiuchumi na anakutegemea hapo sawa ila kama yeye ndo kakuzidi kiuchumi na unamtegemea hapo ni tofauti
 
Habari za usiku huu wana JF?

Mie wala siyo mwingi wa habari ila nilitaka tu kuwauliza ninyi kaka zetu hili swali kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.

Swali: Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha usawa kivipi yaani kwenye mambo yepi haswa?

Swali la nyongeza: Je, mnataka wanawake tusifanye makosa ila wanaume mfanye makosa halafu wanawake tukae kimya tusiwaambie na wala tusiwafanye chochote au mnatakaje?

Naombeni majibu yenu tafadhali na hata wanawake wenzangu pia mnaweza kujibu chochote mnachojua kuhusiana na hayo maswali maana mimi sina majibu kabisa.
Kwa nyongeza ndoa nyingi zinakufa sababu ya kutafuta usawa huo.
Kila aliyedumu na ndoa yake ana siri nzito.
 
Kwa nyongeza ndoa nyingi zinakufa sababu ya kutafuta usawa huo.
Kila aliyedumu na ndoa yake ana siri nzito.
Nashukuru umegundua kuwa kila aliyedumu na ndoa yake ana siri nzito hivyo basi wanaume msilazimishe kwamba kwa ndoa yoyote ili idumu basi ni lazima mwanaume ndo awe juu na mwanamke ndo awe chini

Kuna ndoa ambazo mwanaume yupo juu na mwanamke yupo chini na zimedumu vile vile kuna ndoa ambazo mwanamke yupo juu na mwanaume yupo chini na zimedumu na mifano ninayo ndoa ina siri kubwa sana na hata siku moja ndoa haina kanuni moja ya namna ya mume na mke wanavyotakiwa kuishi
 
Imeandikwa wapi?

Subiri wanaotafuta maandiko. Ila kwa sisi Wanaume Halisi huo muda hatuna.

Wewe ni mwanamke na utabaki kuwa mwanamke. Wewe jadiliana na wanawake wenzako au watoto lakini sio sisi wanaume.
 
Tatizo ni mgawanyo wa majukumu wanaume hawataki kufanya majukumu yetu ila wanataka wanawake tufanye majukumu yao na matokeo yake wanawake tunajikuta tunafanya majukumu mengi kuliko wanaume something which is not fair I think.
Kama majukumu yapi kwa mfano? Samahani lakini..
 
upo sawa mkuu ila hakuna cha uwezo mkubwa wa mwanamke wala nini... ndio wajibu wake na kazi aliyoumbwa kuja hapa duniani kuifanya ndio maana ana uterus, ovary na uwezo wa kukaa na mtoto huyo pia kapewa ingelikua na sisi wanaume tunavyo hapo ndio wangekua na la kusema....kwa mfano wao pia hawaezi kupata hiko kiumbe bila ya kuwepo na mwanaume...mungu aliamua kubalance na kumpa kila mtu majukumu yake na kila mtu afanye yake kwa upande wake
Sahihi kabisa mkuu....
 
Sawa ila mbona wanaume mnakubali tuingilie majukumu yenu huku hamtaki kuingilia majukumu yetu (simaanishi kubeba mimba, kuzaa watoto wala kunyonyesha watoto)? Kwanini?
Tatizo hutaji hayo majukumu yenyewe ni yapi...
 
Kitu pekee nnachojua Most Women demand equal rights and not equal Responsibilties
Wanawake wana fail sana kwenye ku demand equal rights na kukataa equal responsibilities. Wanashindwa kutambua kwamba haki huja baada ya wajibu Na hii inatokana na kuwa brainwashed na mashirika na wanaharakati wapumbavu wanaodhani haki sawa ni kumpandisha mwanamke na kumshusha mwanaume. Kuna hawa ambao wengine wanajiita superwomen wapumbavu kabisaaaa
 
Nahisi nipo nje ya mada kidogo lakini sometimes wanawake tunajichanganya

Tunataka haki sawa kwa wote wakati huo huo tuna ile kauli mbiu yetu eti wanawake tukiwezeshwa tunaweza...SMH![emoji17][emoji17]

Kwanini tuhitaji kuwezeshwa wakati tuko na mikono na miguu miwili mixer ubongo kama wanaume
We ni mwanamke miongoni mwa wanawake wanaotumia fikra na akili zao vzr sana.
 
Mimi ninahisi uwezo aliopewa mwanamke Ni mkubwa Sana kulinganisha na mwanaume. Mwanamke ndiye mwenye uwezo wa kuuhifadhi uhai wa binadamu kwa miezi 9 na pia kuutunza kwa miaka mingi zaidi. Mwanamke ni safe keeper wa jamii, mwanamke Ni chombo Cha manung'uniko ya dunia hii kwa nafasi Kama mke na Kama mama. Pepo ya dunia hii ipo kwenye miguu ya mwanamke

Huwa nasikitika nikiona mwanamke akijaribu kuwa Kama mwanaume ili ajihisi superior. MWANAMKE YOYOTE ANAYETAFUTA USAWA NA MWANAUME HUPOTEZA NGUVU YAKE KAMA MWANAMKE.
Genius
 
Usawa ni pale mnapotaka wanaume tusifanye maamuzi yeyote nyumbani mpaka tuwashirikishe yaani hata mshahara wangu unataka unipangie tuutumiaje hapo ndio mnapotuchosha
 
Back
Top Bottom