Hivi wanaume nao wana mzunguko?

Maana nakuwaga na kama wiki mbli ivi libido inakuwa juu ajabu, then kama wiki moja ivi sina hamu na dem. Hivi ni kwangu tu au hata wengine? ARRRRRGH....

Alaf zile siku sina ham ndo 'opportunity' zinakuwapo kibao....
Hii huwatokea wanaume wote na ni mambo ya kawaida kuna siku unakuwa na hamu unahisi hata mwanamke mmoja hatoshi lol!,na kuna siku ukipata kimoja tu kinatosha.
 
ola como es tas ?

Unahitaji kikombe aisee,,,

Ola nikuwambie joto linapunguza hamu aiseee,,,
 
hahaaaaaaaaaaaa hakuna hiyo kitu mzee
Maana nakuwaga na kama wiki mbli ivi libido inakuwa juu ajabu, then kama wiki moja ivi sina hamu na dem. Hivi ni kwangu tu au hata wengine? ARRRRRGH....

Alaf zile siku sina ham ndo 'opportunity' zinakuwapo kibao....
 
Wiki ilikuwa nyingi?? hivi kumbe watu wanasex mara ngapi kwa mwezi? duh isijekuwa napunjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…