mhhhhhhhhhhh
mbona waguna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhhhhhhhhhhh
mbona waguna
sasa nifanyaje,??hujui ku pm?
yule niliekuwa na pm nae ni shosti yupi?
Hii huwatokea wanaume wote na ni mambo ya kawaida kuna siku unakuwa na hamu unahisi hata mwanamke mmoja hatoshi lol!,na kuna siku ukipata kimoja tu kinatosha.Maana nakuwaga na kama wiki mbli ivi libido inakuwa juu ajabu, then kama wiki moja ivi sina hamu na dem. Hivi ni kwangu tu au hata wengine? ARRRRRGH....
Alaf zile siku sina ham ndo 'opportunity' zinakuwapo kibao....
Maana nakuwaga na kama wiki mbli ivi libido inakuwa juu ajabu, then kama wiki moja ivi sina hamu na dem. Hivi ni kwangu tu au hata wengine? ARRRRRGH....
Alaf zile siku sina ham ndo 'opportunity' zinakuwapo kibao....
kwa kweli kila mwanaume nahisi huwa inamtokea
hiyo hali ya kuwa huna shida sana na wanawake na wao wakawa wanakujia kwa nguvu....
i mean unapokuwa single ni ngumu kupata mwanamke....
but ukishapata mmoja,wengine wanakuwa easy
mimi nliwahi pata tatizo lilonifanya nisiweze ku sex kwa wiki nzima...
ndani ya hiyo wiki nzima,zaidi ya wanawake 6 walikuwa
wananitafuta kwa nguvu..,wengine ni ex gfs,wengine wapya kabisa...
tatizo lilipoisha,sikuwaona.as if walikuwa wanajua,but walikuwa hawajui...its funny...