Hivi wanaume tukiamua kuwa na mmoja mmoja si itatokea vita?

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
1,076
Reaction score
211
Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.
 
Mtakua hamkuelewa somo la Biology, nature lazima ibalance yenyewe kwa hiyo haiwezi tokea.
 
sensa ya tanzania inaonyesha wanawake wamewazidi wanaume kwa milioni kama 4 sasa hicho kitu hakiwezekani hao wengine watatoka na nani jamani tuwaonee huruma wenzetu inabidi uchukue wako sita na mwenzio wa3 maisha yanaenda
 
nakuhurumia sana i wish na ww ungejihurumia japo kidogo tu
 
sensa ya tanzania inaonyesha wanawake wamewazidi wanaume kwa milioni kama 4 sasa hicho kitu hakiwezekani hao wengine watatoka na nani jamani tuwaonee huruma wenzetu inabidi uchukue wako sita na mwenzio wa3 maisha yanaenda

Sensa ya mwaka gani? Huo ni msemo wa kuhalalisha watu wanayopenda kufanya waweze kuyafanya hamna mtu mwenye takwimu ya idadi ya wanawake na wanaume.
 
sensa ya tanzania inaonyesha wanawake wamewazidi wanaume kwa milioni kama 4 sasa hicho kitu hakiwezekani hao wengine watatoka na nani jamani tuwaonee huruma wenzetu inabidi uchukue wako sita na mwenzio wa3 maisha yanaenda
Aliyewaumba alijua fika mwisho wa kila mmoja na ingekuwa ya lazima hizo ndude zingeoteshwa kama miti kwenye ardhi au mboga za majani!
 
Mimi ni wazo binafsi jamani, ila expectation zangu nilijua kina mama watawaka sana na wale wanajiita wakristu
 
Unadhani kuna starehe kwenye kushare? Basi tu shida, kwamba mtu ukikosa ndo utapigania hicho? Huo ugomvi unaoufikiria si wa wanaume bali ni wa ego. Ndio sababu huwa tunapigana wenyewe wewe unaachwa pembeni, yani wewe matendo yako hayana uhusiano na hasira za wakati huo. Ila kwa sasa mie ninachoogopa sana ni jinsi wanaume wanavyokuwa dhaifu, hawana dira, authority, independence, direction, wala role model wa kuigwa hakuna tena wengi, wababa na kaka wanaongeza umri bila maarifa. Wamama na wadada wanatawala maamuzi zaidi na zaidi
 
mi naona mtakuwa mmejikomesha wenyewe, mwenye kuku atakula kuku maisha yake yote, mwenye dagaa atakula dagaa asilani.
Raha ya msosi uchanganye kidogo duh!
 
Mimi ni wazo binafsi jamani, ila expectation zangu nilijua kina mama watawaka sana na wale wanajiita wakristu

sasa swala la ukristo hapo linaingiaje kny hiyo vita yako? Kama imani yako inakuruhusu kuoa wake wengi oa hata hamsini with lots of mipango ya nje ebo!
 
Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.

Vita vya nini?
Mbona njiwa ana mpenzi mmoja tu na wala hamna vita vinavyotokea?
 
hapo sasa! Sijui alitaka tupate ujumbe gani! Kwani wanaume ni oxygen kwamba ikikosekana na uhai hakuna!

nashangaa, ila nadhani ni utoto, ndio hawa ile posti iliosema wanaume wachache wavulana kibao, nadhani hawa ni wale waliostick kwenye uvulana zaidi.
So sad,
 
Unadhani kuna starehe kwenye kushare? Basi tu shida, kwamba mtu ukikosa ndo utapigania hicho? Huo ugomvi unaoufikiria si wa wanaume bali ni wa ego. Ndio sababu huwa tunapigana wenyewe wewe unaachwa pembeni, yani wewe matendo yako hayana uhusiano na hasira za wakati huo. Ila kwa sasa mie ninachoogopa sana ni jinsi wanaume wanavyokuwa dhaifu, hawana dira, authority, independence, direction, wala role model wa kuigwa hakuna tena wengi, wababa na kaka wanaongeza umri bila maarifa. Wamama na wadada wanatawala maamuzi zaidi na zaidi

mi mke wangu alitaka kuniteka ila namshukuru Mola kwamba nilistuka nikasimama kama mwanume,
hili jambo lipo sana kwa wanawake kutaka kumtumia mwanaume kujinufaisha na kujifurahisha kwa maslahi yao binafsi,
 
Utakuwa ni unyanyapaa kwa wanawake we hujui kama wanawake ni wengi kuliko wanaume
 
vita tayari ipo.... hawa wadada wasio na wenza wanavyoiba wame za watu... kuna sredi moja yajieleza wazi hapa .. nashangaa hawa wachangiaji wana act hawajakusoma.... vita ipo.....
 
Back
Top Bottom