Hivi wanaume tukiamua kuwa na mmoja mmoja si itatokea vita?

Hivi wanaume tukiamua kuwa na mmoja mmoja si itatokea vita?

mweh! kuna wengine hapa ndio wamepewa jembe kua haiwezekani wao kua na mtu mmoja so niwatalimaaaaaaaaaaaa mpaka
(wanajijua)
 
Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.

Nahisi we ni kiwembe sana, hebu acha dhambi ya uzinzi kisha utubu umrudie muumba wako.
 
Usipotoshe jamii,kuna watu wana mmoja mmoja na hawatoki nje.wanaotoka ni wahuni tu.
 
Back
Top Bottom