Emilia
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 266
- 86
vita tayari ipo.... hawa wadada wasio na wenza wanavyoiba wame za watu... kuna sredi moja yajieleza wazi hapa .. nashangaa hawa wachangiaji wana act hawajakusoma.... vita ipo.....
Hao wanacho gombea ni fedha zaidi yaani uchumi,lakini sio kwamba wanawapenda sana hao wanaume.
We fukuzwa kazi kuwa broke alafu nenda ukale bure nyumba ndogo uone kama uta takwa,
Vita iliyopo ni ya uchumi wala sio wanaume kama wanaume usipo weza kutofautisha hutaweza kuelewa.