Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
sensa ya tanzania inaonyesha wanawake wamewazidi wanaume kwa milioni kama 4 sasa hicho kitu hakiwezekani hao wengine watatoka na nani jamani tuwaonee huruma wenzetu inabidi uchukue wako sita na mwenzio wa3 maisha yanaenda
Aliyewaumba alijua fika mwisho wa kila mmoja na ingekuwa ya lazima hizo ndude zingeoteshwa kama miti kwenye ardhi au mboga za majani!sensa ya tanzania inaonyesha wanawake wamewazidi wanaume kwa milioni kama 4 sasa hicho kitu hakiwezekani hao wengine watatoka na nani jamani tuwaonee huruma wenzetu inabidi uchukue wako sita na mwenzio wa3 maisha yanaenda
Mimi ni wazo binafsi jamani, ila expectation zangu nilijua kina mama watawaka sana na wale wanajiita wakristu
vita ya nini sasa
Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.
hapo sasa! Sijui alitaka tupate ujumbe gani! Kwani wanaume ni oxygen kwamba ikikosekana na uhai hakuna!
Unadhani kuna starehe kwenye kushare? Basi tu shida, kwamba mtu ukikosa ndo utapigania hicho? Huo ugomvi unaoufikiria si wa wanaume bali ni wa ego. Ndio sababu huwa tunapigana wenyewe wewe unaachwa pembeni, yani wewe matendo yako hayana uhusiano na hasira za wakati huo. Ila kwa sasa mie ninachoogopa sana ni jinsi wanaume wanavyokuwa dhaifu, hawana dira, authority, independence, direction, wala role model wa kuigwa hakuna tena wengi, wababa na kaka wanaongeza umri bila maarifa. Wamama na wadada wanatawala maamuzi zaidi na zaidi
Vita vya nini?
Mbona njiwa ana mpenzi mmoja tu na wala hamna vita vinavyotokea?