Hivi wanaume tukiamua kuwa na mmoja mmoja si itatokea vita?

vita tayari ipo.... hawa wadada wasio na wenza wanavyoiba wame za watu... kuna sredi moja yajieleza wazi hapa .. nashangaa hawa wachangiaji wana act hawajakusoma.... vita ipo.....

Hao wanacho gombea ni fedha zaidi yaani uchumi,lakini sio kwamba wanawapenda sana hao wanaume.
We fukuzwa kazi kuwa broke alafu nenda ukale bure nyumba ndogo uone kama uta takwa,

Vita iliyopo ni ya uchumi wala sio wanaume kama wanaume usipo weza kutofautisha hutaweza kuelewa.
 
Mmm!mi sina chakuchangia,ila ukweli unabaki palepale hamna mwanaume mwenye mwanamke mmoja,ukubali ,ukatae.
 
Hiyo vita watapigana nani na nani, hujaeleza hapa...

Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.
 
Wanaume watakuwa wanagombaniwa kama sukari ilipopanda bei, yani kama comdity wakati wanahitajika?
Wakati hatuwahitaji unawatupa huko kama ufagio hadi wakati wanahitajika, wajati huo kazi ya mwanaume iatakuwa moja tu, kama askari wan nyuki.
Kuna hadithi za zamani sana za wagiriki zinasimulia kuwa hivyo ndio ilikuwa zamani, wanaume wanatumikishwa na wanaitwa kuwapa wanawake mimba tu
 
sensa ya tanzania inaonyesha wanawake wamewazidi wanaume kwa milioni kama 4 sasa hicho kitu hakiwezekani hao wengine watatoka na nani jamani tuwaonee huruma wenzetu inabidi uchukue wako sita na mwenzio wa3 maisha yanaenda

Hivi nani anajua idadi ya watawa (nuns) hapa Tz? Nahisi hawapungui 1m
 
Nimeishia kucheka tu sina cha kuchangia. JF is never boring (The Boss,2011):juggle:
 
Tatizo liko wapi? Kwanini uwe na mke mmoja na vimada msururu? Wengi wenu mtajifanya hamjui kuwa tatizo lipo kwenye mafundisho yanayokataza kuwa na mke zaidi ya mmoja. Solution ipo na mnaijuwa, mnajifanya hamuoni, wala hamsikii? Au ni kweli hamuoni, hamsikii na mabubu?
 
Think out of the Box men! Mbona mashoga yanapigania haki zao husemi, we umeona wanawake tu kwamba ndo watapata shida!! Mila zenu za kunyanyapaa wanawake ni za kwenu bana.....
 
Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.

sina uhakika saana na hili ila nadhani kama sikosei kwa sababu ya wanaume kuogopa ukimwi na kua na mpenzi mmoja tu huko botswana kuna majimama yanatumia hata bunduki kuwabaka vijana..! so nadhani sio kwamba ingetokea vita..! ni kwamba vita ipo tayari ila ingezidi sana na mwanaume angeonekana ni kitu cha thamani kama nini vile sijui..! yani daah mwana tungekua na vallue kweli sio kama siku hizi yani wanatudrive crazy kinyama hawa dada zetu..!
 
Mmm!mi sina chakuchangia,ila ukweli unabaki palepale hamna mwanaume mwenye mwanamke mmoja,ukubali ,ukatae.

Binadamu hawapendi kusikia ukweli huu mkuu, na si mwanaume tu bali hata wanawake ila hawapendi kusikia binadamu. Cha ajabu wachangiaji wanaokataaa utakuta wana mipango ya kando kibao mimi nawsikiliza tu kwanza.
 

Wengi hawajasikia ukweli huu, maana mwanaume ingekuwa zaidi ya fedha. Watu wangekuwa wanatekwa kwenda kutoa huduma mahali nao hose wives wangeanza kuwatafuta watekaji si vita hiyo?
 
Think out of the Box men! Mbona mashoga yanapigania haki zao husemi, we umeona wanawake tu kwamba ndo watapata shida!! Mila zenu za kunyanyapaa wanawake ni za kwenu bana.....

Kwa sababu % ya men na women tofauti. Men wachache sana, sasa nitathink outside the box kwa kusema kama wanawake wangekuwa wachache?
 

Ukjifanya research nakuapia utagundua wa kristu wana wake wengi kuliko waislamu (mipando ya kando hiyo). Solution ni nini sasa?
 
Hivi nani anajua idadi ya watawa (nuns) hapa Tz? Nahisi hawapungui 1m

Wewe hao wanaliwa tu mbona? Waulize waliosoma seminarini . . . . mipango ya akina father ya kubebana na gari usiku
 
Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.

Hakuna vita kabisa kwani kumbuka kuna makasisi wasiooa, dini nyingine zinaruhusu mke zaidi ya mmoja, masista wa dini kama RC hawaolewi. Pia wote tungekuwa na elimu bora ya uzazi tungeweza ku-balance sex yaani mfano kila familia inazaa watoto wa kiume na wakike kwa idadi sawa na familia zote kuwa na idadi sawa ya watoto.

Wanawake ni wengi kwa sababu watu wana-copulate tu bila kutumia akili na mpangilio!!
 

Wasiooa na kuolewa masister na mafather wana mipango ya nje usiombe. Bado isingeweza ku balance
 

Na solution ya wanawake kuolewa na mwanaume mmoja na kuanza kutoka nje ya ndoa hiyo ni ipi?
 
assuming wanawake ni wengi kuliko
wanaume sasa inakuwaje wanaume tukifumaniana tunatiana za uso na wakati mwingine kuuana? Why don't we just walk away maana si weng? Ndugu yangu usipende kumfanyia mwenzio usichopenda kutendewa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…