AMINATA 9 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2011 Posts 2,120 Reaction score 642 Dec 2, 2011 #41 mweh! kuna wengine hapa ndio wamepewa jembe kua haiwezekani wao kua na mtu mmoja so niwatalimaaaaaaaaaaaa mpaka (wanajijua)
mweh! kuna wengine hapa ndio wamepewa jembe kua haiwezekani wao kua na mtu mmoja so niwatalimaaaaaaaaaaaa mpaka (wanajijua)
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,054 Reaction score 5,511 Dec 2, 2011 #42 Johnsecond said: Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii. Click to expand... Nahisi we ni kiwembe sana, hebu acha dhambi ya uzinzi kisha utubu umrudie muumba wako.
Johnsecond said: Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii. Click to expand... Nahisi we ni kiwembe sana, hebu acha dhambi ya uzinzi kisha utubu umrudie muumba wako.
chriss brown JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 292 Reaction score 63 Dec 2, 2011 #43 Usipotoshe jamii,kuna watu wana mmoja mmoja na hawatoki nje.wanaotoka ni wahuni tu.