Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

Dogo usiingie kwenye mapenzi na moyo wako.Tumia akili.

Alafu unaonekana unalialia sana kwenye mapenzi.Kaza watakuchapia sana dogo.
 
Tunafeli kwa sababu tunasahau kuwa ili ule lazima uvuje jasho.

Ushauri. Tutafute kazu kwa hali na mali.
Tufanye kazi
Tafuta kazu ya kufanya
 
Ahaaa saw kiongoz
📌📌📌Kabla hujaamua kutulia suuza Rungu vya kutosha uyazoee haya mapaka kwanza ndo uamu kutulia.

Ila tumia kinga au mpime kwanza usifakamie hovyo kama fisi🤝
 
Ushaur mzur I will take it
 
📌📌📌Kabla hujaamua kutulia suuza Rungu vya kutosha uyazoee haya mapaka kwanza ndo uamu kutulia.

Ila tumia kinga au mpime kwanza usifakamie hovyo kama fisi🤝
Ushaur mzur
 
Back
Top Bottom