Hapo ndo tatizo linapoanzia hiyo mwanaume kwa utashi wake kusaidiana kufanya kazi za ndani,kuna siku utamwambia sijisikii kupika ingia jikoni upike kwa makusudi kabisa,wanaume huwa wanajisahau sana unless mwanamke anaumwa tu otherwise wanaume wanapata tabu sanaMnaoolewa na wafalme mna kazi sana aiseee mnakuwa watumwa hiyo ya kupiga goti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kupangiana zamu na mme ya kupika au usafi akijisikia kukusaidia akussaidie
Mkeo atapata tabu sana
napitaMie najua katika ndoa kikubwa maelewano tu na kila anayekifanya ndoani ambacho mwenzie anaona hawezi basi ndio maelewano hayo.
Japokuwa namba 1, 2 na namba 06 uko sahihi. Ila hiyo namba nne haikwepeki hasa utakapofanya kitu chenye kuudhi na muhusika akashindwa kukustahi aiseee kibao kitakuhusu kisha kuombana radhi baadae.
Hilo bae ntajitahidi na huu umbea unavyonifukuta unadhan ntaachaje kua nakushirikisha mm??? Tungoja balqis akue mdada nutajitahidi kucheza nafas yangu kama mama hunbabe zingatia namba 7
Yes, kila kitu ni makubaliano tu.Mie najua katika ndoa kikubwa maelewano tu na kila anayekifanya ndoani ambacho mwenzie anaona hawezi basi ndio maelewano hayo.
Japokuwa namba 1, 2 na namba 06 uko sahihi. Ila hiyo namba nne haikwepeki hasa utakapofanya kitu chenye kuudhi na muhusika akashindwa kukustahi aiseee kibao kitakuhusu kisha kuombana radhi baadae.
Na namba saba yuko sahihiMie najua katika ndoa kikubwa maelewano tu na kila anayekifanya ndoani ambacho mwenzie anaona hawezi basi ndio maelewano hayo.
Japokuwa namba 1, 2 na namba 06 uko sahihi. Ila hiyo namba nne haikwepeki hasa utakapofanya kitu chenye kuudhi na muhusika akashindwa kukustahi aiseee kibao kitakuhusu kisha kuombana radhi baadae.
Wajibu huo kwa mwanamke umeandikwa wapi Mkuu nifahamishe na mie nijue?Nipe mfano wa taabu atakayoipata hapo,coz Mimi naona ni wajibu wake
hebu kalale huko na ukiamka unipigie magotiHilo bae ntajitahidi na huu umbea unavyonifukuta unadhan ntaachaje kua nakushirikisha mm??? Tungoja balqis akue mdada nutajitahidi kucheza nafas yangu kama mama hun
Ni kweli kabisa usemalo Mangi.Yes, kila kitu ni makubaliano tu.
Kama mtu na mkewe wamejipangia utaratibu wao, we inakuhusu nini??
Kama mwanaume ameridhika kupika, kuosha vyombo, kutandika kitanda nk, hakuna shida yoyote.
Kiranga anakwambia mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe
Faragha za watu hizoo
Mtumee hahahahhahahhaa yameanza lini haya??? Nalala mm bye hun see uhebu kalale huko na ukiamka unipigie magoti
yameanza leo saizMtumee hahahahhahahhaa yameanza lini haya??? Nalala mm bye hun see u