Hivi wanaume wengine mnawezaje hivi vitu Mimi binafsi siwezi na sitaweza kamwe

Mie najua katika ndoa kikubwa maelewano tu na kila anayekifanya ndoani ambacho mwenzie anaona hawezi basi ndio maelewano hayo.

Japokuwa namba 1, 2 na namba 06 uko sahihi. Ila hiyo namba nne haikwepeki hasa utakapofanya kitu chenye kuudhi na muhusika akashindwa kukustahi aiseee kibao kitakuhusu kisha kuombana radhi baadae.
 
Hiyo namba tano[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Mnaoolewa na wafalme mna kazi sana aiseee mnakuwa watumwa hiyo ya kupiga goti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kupangiana zamu na mme ya kupika au usafi akijisikia kukusaidia akussaidie
Mkeo atapata tabu sana
Hapo ndo tatizo linapoanzia hiyo mwanaume kwa utashi wake kusaidiana kufanya kazi za ndani,kuna siku utamwambia sijisikii kupika ingia jikoni upike kwa makusudi kabisa,wanaume huwa wanajisahau sana unless mwanamke anaumwa tu otherwise wanaume wanapata tabu sana
 
Mie najua katika ndoa kikubwa maelewano tu na kila anayekifanya ndoani ambacho mwenzie anaona hawezi basi ndio maelewano hayo.

Japokuwa namba 1, 2 na namba 06 uko sahihi. Ila hiyo namba nne haikwepeki hasa utakapofanya kitu chenye kuudhi na muhusika akashindwa kukustahi aiseee kibao kitakuhusu kisha kuombana radhi baadae.
napita
 
babe zingatia namba 7
Hilo bae ntajitahidi na huu umbea unavyonifukuta unadhan ntaachaje kua nakushirikisha mm??? Tungoja balqis akue mdada nutajitahidi kucheza nafas yangu kama mama hun
 
Yes, kila kitu ni makubaliano tu.
Kama mtu na mkewe wamejipangia utaratibu wao, we inakuhusu nini??

Kama mwanaume ameridhika kupika, kuosha vyombo, kutandika kitanda nk, hakuna shida yoyote.

Kiranga anakwambia mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe

Faragha za watu hizoo
 
Mie najua katika ndoa kikubwa maelewano tu na kila anayekifanya ndoani ambacho mwenzie anaona hawezi basi ndio maelewano hayo.

Japokuwa namba 1, 2 na namba 06 uko sahihi. Ila hiyo namba nne haikwepeki hasa utakapofanya kitu chenye kuudhi na muhusika akashindwa kukustahi aiseee kibao kitakuhusu kisha kuombana radhi baadae.
Na namba saba yuko sahihi
 
Hilo bae ntajitahidi na huu umbea unavyonifukuta unadhan ntaachaje kua nakushirikisha mm??? Tungoja balqis akue mdada nutajitahidi kucheza nafas yangu kama mama hun
hebu kalale huko na ukiamka unipigie magoti
 
Yaani nitoke kazini saa 4 usiku nimechoka nifike nikupikie utalala na njaa.

Niamke nipige magoti nikusalimie?? Umekua baba yangu mzazi.

Yaani utakaemuoa ana kazi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndoa sio gereza Mkuu
 
Back
Top Bottom