Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Siku vyuma vikikaza utaambiwa una michepuko unayoitoa out,ogopa mazoea halafu yakakatika utapata taabu sana katoka kwa hawa viumbe
Najiona kabisa ambavyo ningeachika ningempata mume wa hivi[emoji23][emoji23][emoji23]Mmmhh!!aiseehh!sijui nijibu nini!
Uwiii bora yote yasifanyike ila kibao ni kosa kubwaaaaaaa ambalo utakuwa umelifanya katika maisha yangu,na itabidi nichukue kwanza diary ninote tukio hilo ili liwe katika historia ya maisha yangu nikimaliza nianze kukupa doziMie najua katika ndoa kikubwa maelewano tu na kila anayekifanya ndoani ambacho mwenzie anaona hawezi basi ndio maelewano hayo.
Japokuwa namba 1, 2 na namba 06 uko sahihi. Ila hiyo namba nne haikwepeki hasa utakapofanya kitu chenye kuudhi na muhusika akashindwa kukustahi aiseee kibao kitakuhusu kisha kuombana radhi baadae.
Yah. Nilipitiwa kuiandika.Na namba saba yuko sahihi
hakikaYah. Nilipitiwa kuiandika.
Iko sahihi sababu bila watoto kuwaambia hivyo waeza shangaaa kila siku watoto wanaombea baba afe ili warithi mali badala ya kutafuta za kwao.
Hapa unaongea tu MkuuUwiii bora yote yasifanyike ila kibao ni kosa kubwaaaaaaa ambalo utakuwa umelifanya katika maisha yangu,na itabidi nichukue kwanza diary ninote tukio hilo ili liwe katika historia ya maisha yangu nikimaliza nianze kukupa dozi
Haya makubaliano ndo yanaleta matatizo mbeleni na ukichunguza kwa undani wa migogoro ya ndoa chanzo kimojawapo ni kuvurugika haya makubaliano na sasa kila mmoja ni mbabe kwenye ndoaYes, kila kitu ni makubaliano tu.
Kama mtu na mkewe wamejipangia utaratibu wao, we inakuhusu nini??
Kama mwanaume ameridhika kupika, kuosha vyombo, kutandika kitanda nk, hakuna shida yoyote.
Kiranga anakwambia mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe
Faragha za watu hizoo
Mmmh. [emoji15]Kwenye utamaduni wa mwafrika
Ukiona kuna mgogoro jua hakukuwa na makubaliano, au mmoja wapo kaamua kuvunja makubaliano.Haya makubaliano ndo yanaleta matatizo mbeleni na ukichunguza kwa undani wa migogoro ya ndoa chanzo kimojawapo ni kuvurugika haya makubaliano na sasa kila mmoja ni mbabe kwenye ndoa
Hapa ndo utasikia kila mmoja anajipikia yaani mwanamke anapika chakula chake kisha na mwanaume anapika chakula chake,ogopa hii kitu
siamini kam mwanamke ni wa shughuli zote hizo dunia imebadilika kijanaHabari wanajamvi,bila kupoteza muda kwa kweli sijui nimeathiriwa na jamii yangu au la pamoja na kusoma kote huko binafsi siwezi kufanya mambo yafuatayo kwenye ndoa
1,Kupangiana zamu za kupika,kufua,kuosha vyombo na usafi wa ndani,yaani niwe na mke wa ndoa halafu tunapangiane na zamu za kupika haitatokea
2,Kupikiwa na house girl na mwanamke yupo amekaa hata kama mke yupo kazini ,namwambia house girl pika mle na watoto,nitamsubiria mke atoke kazini aje anipikie,kama anaumwa nitapika vizuri sana,lakini yupo sofani anasaapuka na facebuka Mimi ndo napika haitatokea
3, kila weekend natoka out na mwanamke hiyo haipo,labda kwenye matukio muhimu kama baadhi ya siku kuu na kama tuna watoto tunaenda wote na kama bado lala ndani
4,kupigwa Kofi na mwanamke,yaani anigombeze atakavyo ila epuka mambo mawili ,Kofi au tusi,yakitokea hayo ujue hapo hakuna ndoa,na unaweza ukala kipigo cha mbwa koko
5,kusalimiana asubuhi,si tunalala kitanda kimoja,hata kama game ilichezwa SAA 11 tukishamaliza lazima mwanamke anisalimie tena ashuke kitandani apige magoti anisalimie ndo aondoke kwenda kwenye shughuli zingine
6, kuamka asubuhi sana ni jukumu la mwanamke aniandalie chai na maji ya kuoga sio niamke nimuache amelala niandae chai,hapo binafsi siwezi
7,kama tuna watoto wakubwa wanaokaribia balehe au waliobalehe,hapa kama mwanaume utakuwa strong watoto watakuwa na tabia nzuri na kama hautakuwa strong ujue mke wako atachangia watoto wako kuharibika,hii ndo stage baba wa mji unatakiwa uonyeshe ubabe wako bila ubabe,ndo machangudoa na watumia madawa ya kulevya yataanzia hapa,mkeo anatakiwa awe anakupa taarifa za ndani za mtoto wako wa kike na wa kiume na baba unatakiwa umwambie mwanao wa kike na kiume live mambo duniani bila kumumunya maneno na mstakabali wa maisha yao na wa Mali zako,kuwa mali zangu unazoziona ni zangu na mama yenu tu,kama utakaa siku moja ufikirie hizi mali umefeli,ni jukumu lako kupambana utafute Mali zako
Mapenzi mbashara na kubembelezana yanaishia kwenye uchumba
Ila sometimes ukiwa hivi ndoa yako itadumu lakini kama unataka yanayofanywa kwenye tamthilia ujue huna ndoa hapo,mwanaume acheze part yake na mwanamke acheze part yake kama mwanamke na mwanaume pia,Usomi wa mwanamke uishie getini,na uheshimiwa unaishia mlangoni
Nauliza hivi wale wanaofanya kinyume cha haya yaliyopo hapo juu mnayawezaje?
Hivi huo wajibu umeandikwa wapi?Bora kila mmoja abaki kwenye wajibu wake kuepusha ya mbeleni