mwanamke unatakiwa unasalimia mumeo na kupiga goti hio ndio heshima, wanawake wa cku hizi mnajifanya ngangari ndio maana mnapata taabu sana kwenye ndoaYaani nitoke kazini saa 4 usiku nimechoka nifike nikupikie utalala na njaa.
Niamke nipige magoti nikusalimie?? Umekua baba yangu mzazi.
Yaani utakaemuoa ana kazi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndoa sio gereza Mkuu
Umeongea vizuri pia jiulize kwa nini ndoa za kisasa hazidumu yaani mnaoana leo kesho hakuna ndoa ,ukifikiria kwa usahihi utapata logic iko wapiMkuu mimi ni.mkolon ila wee ni mkoloni sugu.
Mwanamke anahitaji kubembelezwa kisha utaona yalomazur anayafanya. Yalomabaya anayaacha.
Usipompenda mkeo kamwe usikae ukategemea yeye akufanyie unayopenda .
Katika kufikiria kwangu , usahihi naoupata nikua ndoa zinavunjika sababu wanaume siku izi hawajui majukum yao ndan ya familia.Umeongea vizuri pia jiulize kwa nini ndoa za kisasa hazidumu yaani mnaoana leo kesho hakuna ndoa ,ukifikiria kwa usahihi utapata logic iko wapi
mzee wa kufukua MAKABURI.. heheh naelewa kazi yakoMrejesho: Baada ya Safari ya Dar kukutana na asiyejulikana
Nimejikuta nakumbuka hii safari yako ya Dar.... tehteehhh
Unanionea bure mkuu, wao ndio huwa wanaandika wenyewe....mzee wa kufukua MAKABURI.. heheh naelewa kazi yako
Yani huyu anapata tabu na nusuDuuh. Kazi ipo narudia tena kazi ipo hasa kwa Mwandani wa mleta uzi. Teh teh.
Maana atapata / anapata tabu sana.
Hahahaa. Kama hiyo namba 5 lol.Mwanaume wa hivi wa nini sasa jamani khaa π π hyo haitakua ndoa bali ni jahanum
Labda siku akigundua nime mcheat otherwise kwenye issue zingine atapata tabu mnoHivi unakubali mkeo ukazabe kofi
Ndo ushangae na wew shoga naanzaje mpigia magoti mwanaume wangu jamani huhuhuhu kwanza mwenye mali hyo siku atacheka kufaHahahaa. Kama hiyo namba 5 lol.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atashangaa kulikoni tena.Ndo ushangae na wew shoga naanzaje mpigia magoti mwanaume wangu jamani huhuhuhu kwanza mwenye mali hyo siku atacheka kufa
Kabisaa yani π π[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atashangaa kulikoni tena.
Ila kama huyo wake mleta uzi anayaweza apige tu kwa kweli.Kabisaa yani [emoji14] π