Hivi wanaume wengine mnawezaje hivi vitu Mimi binafsi siwezi na sitaweza kamwe

Hivi wanaume wengine mnawezaje hivi vitu Mimi binafsi siwezi na sitaweza kamwe

Yaani nitoke kazini saa 4 usiku nimechoka nifike nikupikie utalala na njaa.

Niamke nipige magoti nikusalimie?? Umekua baba yangu mzazi.

Yaani utakaemuoa ana kazi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndoa sio gereza Mkuu
mwanamke unatakiwa unasalimia mumeo na kupiga goti hio ndio heshima, wanawake wa cku hizi mnajifanya ngangari ndio maana mnapata taabu sana kwenye ndoa
 
Mkuu mimi ni.mkolon ila wee ni mkoloni sugu.

Mwanamke anahitaji kubembelezwa kisha utaona yalomazur anayafanya. Yalomabaya anayaacha.

Usipompenda mkeo kamwe usikae ukategemea yeye akufanyie unayopenda .
Umeongea vizuri pia jiulize kwa nini ndoa za kisasa hazidumu yaani mnaoana leo kesho hakuna ndoa ,ukifikiria kwa usahihi utapata logic iko wapi
 
Kama kuoa inabidi niishi na mke hivi,heri niendelee kula ujana.nitaoa nikizeeka.
 
Umeongea vizuri pia jiulize kwa nini ndoa za kisasa hazidumu yaani mnaoana leo kesho hakuna ndoa ,ukifikiria kwa usahihi utapata logic iko wapi
Katika kufikiria kwangu , usahihi naoupata nikua ndoa zinavunjika sababu wanaume siku izi hawajui majukum yao ndan ya familia.

Wao wanachojua mwanamke ukioa basi ni mama watoto kwishaa.

Ipo ivi. Ili mradi mwanamke ni Binadamu. kamwe usikae ukamtreat ktk hali ambayo atajihisi "Utu" wake hauheshimiwi wa kuthiminiwa.

Akijihisi ivo tuu..basi na familia itakua chungu na utapata tabu sana


Hawa wanawake walipewa uwezo wa kumuumiza mwanaume bila hata Kukugusa.
 
Mwanamke anahitaji kubembelezwa, kupetipeti matunzo pia, ukienda rafu utampoteza...[emoji445][emoji444][emoji443]
 
mzee wa kufukua MAKABURI.. heheh naelewa kazi yako
Unanionea bure mkuu, wao ndio huwa wanaandika wenyewe....
Na mimi ninacho kifanya huwa nawakumbusha tu, maana skuzote najua KUKU WA KUCHORA HADONOWI.... tehteehhh
 
Nilifumaniwaga na ex wangu alinibonda haki sijawahi kubondwa kama vile alinibonda akahisi mikono haitoshi akachukua laptop akaanza kunibamiza nayo.

Nikakimbilia nje alinikimbiza alivyoona namzidi mbio akaokota mawe alirusha mawe 10 na yote yalinipata halafu hiyo ni usiku nikagundua huyu siyo mwanamke wa kawaida.

Usiku na giza unarusha mawe 10 yote yananipata? Nikaachana naye.
 
No.5 huo ni utumwa Sasa.japokuwa Mimi ni gentleman ilo kwangu halipo
 
Back
Top Bottom