Hivi Wanaume wenzangu wa Dar mbona mnapenda kujazana KFC

Kila kitu na majira yake,kila zama na kitabu chake,zamani Bongo hakukua na migahawa ya Kfc,

Nenda kaishi hiyo miaka ya zamani kama ya sasa inakuacha nyuma.
 
KFC=Kentyuck Fried [emoji215] Chicken
Hii ni migahawa maarufu Duniani Kwa hapa Tz ipo Dsm (kumbuka pia haya ni matawi tu)
 
Wengi ni wauza sura wanalala nyumbani kwao hata godoro hawana
Hahaaa! Umejuaje mkuu?

Mimi huku nilipo ni kawaida tu watu kupata chakuka cha haraka kwenye fast food kama hizi na ni jambo la kawaida tu,ila hizi junk food sio nzuri kama utakula kila siku.
 
Wengi ni wauza sura wanalala nyumbani kwao hata godoro hawana
Sasa mkuu, mtu kulala nyumbani kwake kuna kosa gani? Ulitaka wakalale guest au wapi?
...labda unaona kuwa kipimo cha mafanikio ni kupanga?
Ujue mtu anayelala kwake ameshapambana vya kutosha, awe na godoro au asiwe nalo!
...pambana mkuu, uondokane na hizo nyumba za kupanga uwe na kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…