Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Aaaah.Ni pale fire makutano ya barabara ya msimbazi,morogoro road na swahili street na nyingne upanga kule umenipata?
Ni hawa jamaa nilienda nikaahiza chicken wings wanaimiminia sweet onion sauce na yellow mustard sauce nikashindwa kuila.
Kudadeki zao